asanteKwanza hongera kw mapambano mwaya..
Ngoja wajuvi ws mambo waje CONTROLA niliona uxi wake humu sijui anasemaje kuhusu hili?[emoji86]
natumaini mko poa
nina miaka 24 sasa.nilitoka nyumbani nikiwa ni miaka 22 na kuamua kujitegemea ,niliondoka nyumbani nikiwa na elfu 50 mfukoni nikaenda geita kutafuta maisha.
sikuwa na ndugu yeyote ,sikuwa na kazi maalum ya kufanya kwa hyo kiasi nilichokuwa napata kiliishia tu kwenye chakula,
baada ya ugumu wa maisha kuzidi niliamua kuingia machimboni eneo la rwamgasa-KATORO,nimekaa huko pesa nilizokuwa napata ilikuw kidogo sana ,
sasa mwez uliopita nimebahatisha kupata millioni 1 na laki 2 baada ya kuuza dhahabu ,nimelipa lipa madeni ya watu nimebakiwa na laki 9 nimeziweka MPESA,huku machimboni kugumu sana hasa kama hauna mtaji wa kutosha,
nimeamua nitoke ili hata hiki nilichokipata kisitekee chote.naombeni ushauri nimefika leo nipo katoro mjini ,nifanye biashara gani ambayo ntakuwa napata elfu 15 kwa siku.
nahitaji michango yenu ya mawazo wakuu.
Uza visheti shule ya msinginatumaini mko poa

hapa destop pull 200000, ( 300000 kodi, 150000 movies, 250000 hii utaweka pembeni kamaa mtaji wa akibaafungua library ya cd
hii biashara inalipa sana tafuta mahali penye watu kibaohapa destop pull 200000, ( 300000 kodi, 150000 movies, 250000 hii utaweka pembeni kamaa mtaji wa akibaa
like kama umependa hii biashara
Fanya hii biasharanatumaini mko poa
nina miaka 24 sasa.nilitoka nyumbani nikiwa ni miaka 22 na kuamua kujitegemea ,niliondoka nyumbani nikiwa na elfu 50 mfukoni nikaenda geita kutafuta maisha.
sikuwa na ndugu yeyote ,sikuwa na kazi maalum ya kufanya kwa hyo kiasi nilichokuwa napata kiliishia tu kwenye chakula,
baada ya ugumu wa maisha kuzidi niliamua kuingia machimboni eneo la rwamgasa-KATORO,nimekaa huko pesa nilizokuwa napata ilikuw kidogo sana ,
sasa mwez uliopita nimebahatisha kupata millioni 1 na laki 2 baada ya kuuza dhahabu ,nimelipa lipa madeni ya watu nimebakiwa na laki 9 nimeziweka MPESA,huku machimboni kugumu sana hasa kama hauna mtaji wa kutosha,
nimeamua nitoke ili hata hiki nilichokipata kisitekee chote.naombeni ushauri nimefika leo nipo katoro mjini ,nifanye biashara gani ambayo ntakuwa napata elfu 15 kwa siku.
nahitaji michango yenu ya mawazo wakuu.
MPE muongozoNgoja waje kukupa muongozo...
Ukisoma hii thread ukitoka haujapata kitu,itabidi tuelekezane kanisa la kwenda tukaombe pamoja.Pita na hii thread usiache page hata 1,fanya kama unasoma story book hakikisha umesoma kitabu kizima ukishakimaliza naamini kichwani mwako hautokua kama kabla hujapitia na hii thread....👇
Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?
Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...www.jamiiforums.com