SACO JF-Expert Member Jul 25, 2011 2,323 2,922 Nov 21, 2019 #1 Karibuni kwa mliopo mkoa wa Dar, Pwani, Mbeya, Iringa, Njombe Rukwa na Katavi
Hazchem plate JF-Expert Member Feb 25, 2011 11,046 15,387 Nov 21, 2019 #3 Utapata inches 23 na sio 32
yello masai JF-Expert Member Jan 8, 2016 3,554 3,515 Nov 21, 2019 #4 Na mimi nahitaji pia. Laki 2 inch 32. Pesa ipo mfukoni.
Abdulwahid JF-Expert Member Apr 3, 2014 2,759 1,555 Nov 22, 2019 #6 Mkuu laki 2 kwa 32" ngumu kidogo, ila kama utaongeza kidogo iwe 310000 naweza kukuletea star x 32 mpya SACO said: Karibuni kwa mliopo mkoa wa Dar, Pwani, Mbeya, Iringa, Njombe Rukwa na Katavi Click to expand...
Mkuu laki 2 kwa 32" ngumu kidogo, ila kama utaongeza kidogo iwe 310000 naweza kukuletea star x 32 mpya SACO said: Karibuni kwa mliopo mkoa wa Dar, Pwani, Mbeya, Iringa, Njombe Rukwa na Katavi Click to expand...
SACO JF-Expert Member Jul 25, 2011 2,323 2,922 Nov 22, 2019 Thread starter #7 Joselela said: Wekeni namba za simu Click to expand... Njoo pm mkuu kama unayo
SACO JF-Expert Member Jul 25, 2011 2,323 2,922 Nov 22, 2019 Thread starter #8 na wewe said: Used au mpya Click to expand... Used
cha kwanza Senior Member Nov 10, 2018 177 158 Nov 22, 2019 #9 Mwenyewe ipo mfuko wa shati apa ila Kama mzgo mzuri naongeza dau
M Mzee Mukaruka JF-Expert Member Jun 18, 2012 712 390 Nov 22, 2019 #10 SACO said: Karibuni kwa mliopo mkoa wa Dar, Pwani, Mbeya, Iringa, Njombe Rukwa na Katavi Click to expand... Dar utapata aina ya SINGSUNG, ni nzuri sana. In fact ni second to SAMSUNG. Mimi ninayo ni nzuri na bei zake pale Kariakoo mitaa ya Msimbazi/Simba zipo tu. Kama huniamini, jaribu kuulizia kwa fundi TV suala hili.
SACO said: Karibuni kwa mliopo mkoa wa Dar, Pwani, Mbeya, Iringa, Njombe Rukwa na Katavi Click to expand... Dar utapata aina ya SINGSUNG, ni nzuri sana. In fact ni second to SAMSUNG. Mimi ninayo ni nzuri na bei zake pale Kariakoo mitaa ya Msimbazi/Simba zipo tu. Kama huniamini, jaribu kuulizia kwa fundi TV suala hili.