Nina idea naomba ushauri.

Nina idea naomba ushauri.

utinotino

Senior Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
119
Reaction score
45
Habari wakuu,
Kama hapa sio penyewe, naomba radhi.
Nina idea ambayo kwa ufahamu wangu haijawahi tumika kokote. Lakini kwa chama chochote kitakachoitumia nina guarentee itakua na very positive impact katika uchaguzi ufwatao.
Pia hii idea na nyingine inaweza kutumika na taasisi za kuelimisha jamii na kueneza demokrasia.
1. Naomba mwenye ufahamu wa nani na ni namna gani kumcontact kutoka vyama vya chadema na ccm aniambie.
2. Naomba mwenye orodha ya ngo na taasis zote zinazohusiana na ufahamu na upanuzi wa demokrasia nchini aniambia kama ataweza contacts zao pia kama hawana website.

Mimi ni mgeni kidogo kwenye political and civil avenues za nchi yetu.
Asanteni.
 
Unataka kuwa political auditor?

Similar Discussions

Back
Top Bottom