Nina hitaji Computer

Nina hitaji Computer

Mlengo

Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
22
Reaction score
21
Nina hitaji computer ya dell inspiron 14z iwe kwenye hali nzuri.mawasiliano 0764555792
 
14z ndiyo nini? Subiri wauza kopyuta (tarakilishi) watakuja.
 
Be specific,computer aina gani at least unge~specify kama ni Desktop ama Laptop sasa inakuwa kaz nyingine ya kuulizana maswali hapa.
 
Mm nina dell desktop 2.8 ghz ram 512 ina flat screen inch 19
 
...mimi ninayo min- compaq 2009 iko kwenye hali nzuriii! Nicheki 0755927881..
 
Habari zenu wakuu...
Wahenga wanasema kuwa "Biashara ni matangazo" nami natangaza kuwa kama kuna mtu binafsi au kampuni inahitaji bidhaa ya aina yoyote ile kama vile spea za magari ya aina zote kutoka Marekani na hata kama unahitaji gari pia inawezekana, Simu za ofisini na mkononi(Smart phones), vifaa vya ulinzi kama Security Camera ambazo zina uwezo wa kurekodi kwenye mazingira ya aina yoyote ile na kukupa taswira ya kile unachohisi kimefanyika kabla na baada ya tukio kwa gharama nafuu.
*Tuwasiliane hapa hapa kwa ujumbe mfupi na kile unachokihitaji pamoja na namba yako ya simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom