Nina Haja Ndogo!

Nina Haja Ndogo!

Nasikia Libolooo limetema 2 hadi mnyama kashindwa kunyanyuka...

Polepole wewee! Unashauti kiivo? Huogopi kupigwa mawe?
Wenyewe leo wakiokota jiwe kabla hawajakuponda nalo, wanaLIBOLD kwanza liwe kubwa!
 
ndo nilishikwa na mshangao ss..wataka ko.jolea jukwaani????
 
Wapenzi ndugu zangu wachitichati, habarini kimiamko.
Kumekucha tena Jumamosi , ambapo wengi wenu mu mapumzikoni mwa mwisho wa juma.
Aidha wengine akina sie mishemishe zetu, kukicha ni teke mbele, mapumziko hayana siku specific.
Yote maisha alimradi kiganja kisiache kuripoti pale kwenye tundu iliyo chini ya Pua na juu ya Kidevu.
As my headin mentioned above haja yangu si kubwa nilioikusudia kuwaletea leo.
Haja yangu ni ndogo tu!
Nayo ni kuwaongezea siku.
Hebu fatana nami umuone bwana huyu mwenye asili ya Kiasia (muhindi) alivyozijibu methali hizi :-
1. Nyani haoni .....?
Jibu- Kama nyani haoni valisa mawani!

2. Debe tupu .....?
Jibu- Weka dengu!

3. Maskini akipata......?
Jibu- iko juri sana toacha ibia jumbani yetu!

4. Penye wengi ....?
Jibu- iyo tokua kutano ya chadema!

5. Penye kuku wengi .....?
Jibu- Chinja bili or tatu ote choma sekela!

6. Chovyachovya ....?
Jibu- iyo iko must be totia mimba!

7. Simba mwendapole ....?
Jibu- iyo ogopa Yanga!.

Chaoo!

Jaman mume wangu una maneno...lol!!
 
nakutafta Baba V...kama uklivosema tutaftane
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom