Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Shida vyuo vya bongo haviko serous, Elon Musk wenda kasoma iyo, ila swali ni vyuo vya Bongo ambavyo kijana anamaliza chuo na fikra tu ,
 
Haina ias



Vipi kuhusu soko baada ya kuhitimu brother
Hawa wakiwa shule wanajifanya wataishi mwezini mara marekani mabomu physics nitakiwa boss ofisini wazee hawajasoma sasa watu wanakuambia kasome nursing wenye uhakika wa ajira tena uende diploma utasomeshwa na serikal huko mbele ww unashupZa shingo ya bachelor kuna mtu alishakwambia kapoteze mda na ndio ilivo kapoteze mda
 
Wasomi mshakua wengi, tafuta ujuzi, nenda ufundi, kasome hata lugha n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…