Nina Diploma ya Procurement

Nina Diploma ya Procurement

ng'adi lawi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
2,956
Reaction score
1,115
Mwenye nafasi kwenye idara ya manunuzi na uboharia anipe kazi sitamwangusha!
 
Unaweza kutengeneza tender documents za kitaifa na kimataifa???
 
Eti haina soko????????? Njoo uone watu wanavyokula kodi zenu.utakimbia ndugu yangu
 
haina soko iyo

75%-80% ya budget ya nchi including your paid taxes zinapitia mikononi mwetu uki_plus 10% plus Figure Multiplication what you expect at the end of month excluding monthly salary!
Kaa hivyo hivyo na dhana zakujazwa na watu ktk kichwa chako.
 
Kwa level ya diploma cjui kama inalipa,ila kwa wenye degree naona wanafanya fujo sana hapa town!
 
Back
Top Bottom