Mr Honolulu
Member
- Dec 26, 2016
- 12
- 2
Kama unaeza kutoa ushauri kwanini usifanye wewe mwenyewe sasa?Natafuta kazi Yoyote ambayo ipo related na hiyo Kozi yangu naweza kutoa ushauri jinsi ya ufugaji wa samaki na pia hata jinsi ya kuandaa Bwawa la Samaki nipo Vizuri. Pia nipo vizuri katika masuala ya Computer Application kama vile Word, Excel, Power Point na Window Installation..... Napatikana kupia 0688235671...
Sijakupata vizuri Mkuu hapo...Unajua kutumia vlookup au Query Kwenye Excel?
Hapo tatizo ni mtaji Boss...Kama unaeza kutoa ushauri kwanini usifanye wewe mwenyewe sasa?
Ushafeli InterviewSijakupata vizuri Mkuu hapo...
Hahaha, huyo anajua basic foundation in excelUshafeli Interview
Sasa hapo kajielezea kama mbobezi..Hahaha, huyo anajua basic foundation in excel
Unafahamu juu ya ufugaji wa samaki kwenye ma-tank, yaani Recirculating Aquaculture System na nyingine inaitwa Aquaponics?Natafuta kazi Yoyote ambayo ipo related na hiyo Kozi yangu naweza kutoa ushauri jinsi ya ufugaji wa samaki na pia hata jinsi ya kuandaa Bwawa la Samaki nipo Vizuri.
Pia nipo vizuri katika masuala ya Computer Application kama vile Word, Excel, Power Point na Window Installation. Napatikana kupia 0688235671.
Hiyo RAS nimaijua lakini ni Theoretically sina experience nayo sijawahi ifanyia kazi hiyo system...Unafahamu juu ya ufugaji wa samaki kwenye ma-tank, yaani Recirculating Aquaculture System na nyingine inaitwa Aquaponics?
Mkuu we unafanya hiyo kitu?Unafahamu juu ya ufugaji wa samaki kwenye ma-tank, yaani Recirculating Aquaculture System na nyingine inaitwa Aquaponics?