Nyambuzi
Member
- Oct 31, 2010
- 25
- 35
It's "inferiority". It's so easy to spell check, don't guess.Enfriority complex inamsumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's "inferiority". It's so easy to spell check, don't guess.Enfriority complex inamsumbua
Ila umeelewa asante
Mh! Hizo degree zenu ndio maana mimi nazidharau, una degree sijui masters halafu huwezi kuelewa logic ndogo tu.so tuweke sheria elimu kwa watoto wa kike MARUFUKU, hio ndio itakupa raha
🏃🏃🏃🏃..
Kabisa hili nimewahi kumshuhudia dingi kamfanyia fitna maza mpaka akaachishwa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wengi tu
Nadhani ni tatizo la saikolojia
Mwanaume kama mke wake anamzidi elimu basi yeye anatakiwa amzidi kipato...Ni bahati kuwa na mwanamke anayekuzid kipato na elimu alaf akatulia..unless amekupenda mwenyewe na hali yako anaitambua kabla ya ndoa....hata level ikiwa sawa kipato & elimu, bado kumuongoza ni taabu tuu,labda kama amekupenda kwa kweli hapo atakuheshimu...Takwimu zinasema idadi ya wanawake wasomi wanaoachika ni kubwa sana ukilinganisha na ambao sio wasomi.....wasio soma wana taabu yao but sio kama wasomi...hata hivyo inashauriwa Mke asikuzidi Elimu wala Kipato, kama mke wako ana diploma bas mwanaume uwe ba degree, kama ana degree bas uww na masters, hata kwenye kipato ni hivyo hivyo akipanda na ww jitahd upande pia...Zaid ya hapo hiyo ni ngekewa...tofaut kubwa sana ya kielimu na yenyewe sio nzur mana kuna kupishana sana kwenye maamuz.wasio soma sana kama la saba alaf ww una masters au degree na wao wana taabu yao, wengi wao huwaroga waume zao wakihofia mme anaweza kumwacha japo ndoa zao huwa zinadumu kwa sababu ya kuwa watiifu kwa waume zao ....Na sku zote mwanamke anategemea uimara wa mwanaume na kama mwanaume upo chini yake hasa suala la kipato na elimu tena kwa pamoja ni ngumu sana kumuongoza unless amefall sana kwako ni heri ukamzid kipato elimu hata akikuzid angalau......zaid ya yote MKE BORA HUTOKA KWA BWANA (NI MAJAALIWA)...unaweza pata msomi kimeo na unaweza pata la saba kimeo pia....Hivyo hivyo yupo radhi akamlie ndimu kwenye mboga ili zichache mke akae tena jikoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafaa kuandika essayl
Mwanaume kama mke wake anamzidi elimu basi yeye anatakiwa amzidi kipato...Ni bahati kuwa na mwanamke anayekuzid kipato na elimu alaf akatulia..unless amekupenda mwenyewe na hali yako anaitambua kabla ya ndoa....hata level ikiwa sawa kipato & elimu, bado kumuongoza ni taabu tuu,labda kama amekupenda kwa kweli hapo atakuheshimu...Takwimu zinasema idadi ya wanawake wasomi wanaoachika ni kubwa sana ukilinganisha na ambao sio wasomi.....wasio soma wana taabu yao but sio kama wasomi...hata hivyo inashauriwa Mke asikuzidi Elimu wala Kipato, kama mke wako ana diploma bas mwanaume uwe ba degree, kama ana degree bas uww na masters, hata kwenye kipato ni hivyo hivyo akipanda na ww jitahd upande pia...Zaid ya hapo hiyo ni ngekewa...tofaut kubwa sana ya kielimu na yenyewe sio nzur mana kuna kupishana sana kwenye maamuz.wasio soma sana kama la saba alaf ww una masters au degree na wao wana taabu yao, wengi wao huwaroga waume zao wakihofia mme anaweza kumwacha japo ndoa zao huwa zinadumu kwa sababu ya kuwa watiifu kwa waume zao ....Na sku zote mwanamke anategemea uimara wa mwanaume na kama mwanaume upo chini yake hasa suala la kipato na elimu tena kwa pamoja ni ngumu sana kumuongoza unless amefall sana kwako ni heri ukamzid kipato elimu hata akikuzid angalau......zaid ya yote MKE BORA HUTOKA KWA BWANA (NI MAJAALIWA)...unaweza pata msomi kimeo na unaweza pata la saba kimeo pia....
Kwanza ushasema kasumba hyo inanipa moyo kuwa utakuwa muelewa ukieleweshwa kingne ukubali kuwa wewe ni mjinga(sio tusi ni sifa){mjinga ni yule ambaye hajui na anajua kuwa hajui,huyu ukimuelimisha anakuwa mwelevu ila mpumbavu yeye hajui na hajui kuwa hajui huyu hata ukimuelimisha kazi bure},kila mwanadam ana tabia zake na mihemko yake binafsi na sio kuweka kimakundi mfano kabila fulan ni malaya au watu fulan wako hivi(hilo ni kosa kubwa),unaweza kuoa wa darasa la 7 na ukapata shida kwa zarau na mengineyo yanayoletwa na tabia zake,wewe na degree yako unaweza kuoa mwenye masters na ukaheshimika mpaka ukashangaa,wewe unahisi alie chini nawe kielimu bac utamzid kipato na yeye atakuheshimu kwa sababu ya kipato,usiombee ampate mwingne mwenye kipato zaid yko tegemea negative impact,kifup omba MUNGU umpate ataekupenda kwa dhati na kukuheshimu wewe na sio ulichonacho so usiangalie kabila,level ya elimu au mengne kama hayo,unaweza kuoa mwenye degree na ukaamua ajiajiri badala ya kuajiliwa maana wanaume wengi tunahisi kuibiwa wake zetu makazini(SIO LAZIMA UUCHUKUE USHURI WANGU MAANA BANDO LANGU NDO LIMENITUMA NICHANGIE)Wakuu Kuna kasumba 1 tunayo vijana ama wanaume, kwa wale waliosoma hawataki kuoa waliosoma wenzao Maana mtiti wake kwenye ndoa sio wa nchi hii.
Nami bora nijitenge mapema kabla sijaingia mkenge naoa zangu certificate na simuendelezi hapo panatosha.. Asije nifanya kama Mugabe mwaka juzi November wanawake hawa sio watu wazuri ukiwainua.
Baki ndani wewe mke ni wa kunilelea watoto na si kuchelewa kurudi nyumbani eti nimetoka kazini..
Majukumu yote ya kumhudumia Familia ni yangu..
Karibuni kwa wale wanaounga hoja
Sent using Jamii Forums mobile app