Naitwa Abby naishi Dodoma,Nina degree ya Procurement and Supplies Management yan Shahada ya manunuzi na ugavi, na nimeshasajiliwa na Bodi ya manunuzi na Ugavi yan PSPTB na Computer pia najua vizur kutumia na nimeshawahi kufanya kazi ya manunuzi na pia kazi ya stores kwa muda fulani kama kujitolea katika hotel fulan Dodoma, kwasasa nahitaji mtu yoyote atakayekuwa anahitaj mtu wa manunuzi au stores, au kazi yoyote halali itakayoendana na hiyo au nyingine,