kusoma siku hizi fashion mkuuUlisomaje cpa ukiwa huna kazi?mnadhalilisha 2 hadhi ya cpa.
unasema elimu ni fashion? mmmmh sidhani kama unaweza kuwa nguli kwenye fani yoyote, ukisoma kwa mtazamo huu. "elimu haijawai kuwa fashion, wala sio fashion na haitakuwa fashion kwa wakati wote"kusoma siku hizi fashion mkuu
mkuu tufungue audit firm, inalipa nipmhabarin wanajamii naomba msaada nipate kibarua, nina cpa ila bado mambo ya ajira hayajakaa vizuri, anayeweza kuniupdate kwa chochote shukran
mkuu tufungue audit firm, inalipa nipm
Kumbulka huwez kiwa owner wa firm until upate practising certificate. ?......., ACPA-PP
Ulisomaje cpa ukiwa huna kazi?mnadhalilisha 2 hadhi ya cpa.