Nina chumba nakipangisha Mwenge near TRA

Nina chumba nakipangisha Mwenge near TRA

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
Nyumba ipo Dar Maeneo ya mwenge near TRA, opposite Magorofa ya jeshi, Vyumba vingine vinne vina wapangaji na nyumba ipo kwenye uzio na usalama wa kutosha.

Kipo chumba kimoja kidogo kuliko vingine ambacho alikua anakaa mwanafunzi wa chuo cha kodi( ameenda kwao bukoba miezi 3 fild kwa hiyo ameshindwa kulipa hiyo miezi asikae)

Hiki chumba kinafaa kitanda cha 4*6 nafasi inabaki nzur ya meza na nk, wapangaji wengine wa hapa ni vijana (mabachela) na kila mtu ana kazi yake nzuri tu so hachungwi mtu.

So target yangu ni kijana wa kike au kiume awe mwanafunzi itakua poa coz kama ni mfanyakazi na una maendeleo hakitakutosha kama vingine ila kama umebanwa sana unaishi,

Pia na kwa wafanya biashara kinafaa kama unahitaji sehemu ndogo ya kutunzia bidhaa means unahitaji sehemu ya kutunzia vitu maeneo ya mwenge panafaa pia coz usalama upo na kuna uzio

Bei 50,000 kwa mwezi (miezi 6) sihitaji dalali namba yangu ni 0713415537

Bado kipo..
 
Naweza nikakilipia 20/Mwezi lakini sitakaa hadi November ndio nilipie hiyo 50/Mwezi! I mean kwa sasa unaweza kumpangisha mtu mwingine hadi November!
 
Naweza nikakilipia 20/Mwezi lakini sitakaa hadi November ndio nilipie hiyo 50/Mwezi! I mean kwa sasa unaweza kumpangisha mtu mwingine hadi November!

Hapana ni 50/mwenzi
 
Naweza nikakilipia 20/Mwezi lakini sitakaa hadi November ndio nilipie hiyo 50/Mwezi! I mean kwa sasa unaweza kumpangisha mtu mwingine hadi November!

Ukifika December nitafute huenda vingine vikawa wazi ila sio hiki,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom