emmy mlyuka
Member
- Oct 11, 2018
- 20
- 22
Tumekuelewa mwalimu mkuu, muchukue tu huyu mrembo ikiwezekana owa kabisanawaza, hivi mwalimu wa mkuu wa shule ya serikali hawez kuwa na mdada wa reception? nawaza tu jamani
Sawa nikifanikiwa kupata pesa nitajiendelezaBaada ya kupitia cv yako kidogo nakushauli ongeza elimu yako kidogo at least ufike ngazi ya diploma
Usipende sana kuweka namba publicHello marafiki wa JF
Naitwa EMMY WILLIAM ni na miaka 26 nina elimu ya certificate in IT (information and communication technology)
Nina uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal oven bakery, mwananyamala hospital NMB, Magomeni hospital NMB kwa miaka kadhaa na nilishakua supervisor kwenye company ya alluminium and pvc window kwa mwaka mzima.
Hivyo natafuta kazi naweza kufanya kaz yoyote kama duka, bakery, wakala wa maswala ya fedha nna uzoefu nayo pia, secretary, receptionist, cashier, customer care au supermaket kazi yenye kuniingizia kipato kizuri
ASANTE
Namba yangu ya simu ni 0710444699
Namba ya simu nayo siri?
Akifika hiyo diploma ndo utamwajiri au,.Baada ya kupitia cv yako kidogo nakushauli ongeza elimu yako kidogo at least ufike ngazi ya diploma
Ndio sio Kila mtu aijueNamba ya simu nayo siri?
ππππMbona kapokea mwanaume [emoji34][emoji34][emoji34]
Ni vigumu sana namba yako ya simu kuwa siri hasa katika harakati za kutafuta ajira. Kila utakapoomba kazi utaacha nambaNdio sio Kila mtu aijue
kama utaweza komaa ufike dipo, hapi hata seriklin unapataHello marafiki wa JF