baby shizzo
Member
- Aug 23, 2015
- 28
- 14
Habari wanajamvi,
Nina degree ya public relations and marketing nilihitimu mwaka jana, nimeomba kazi sehemu tofauti bila mafanikio. Mwenye mtonyo wa ajira anijulishe lakini nakata tamaa ya kutafuta kazi maana nimechoka.
Nina business plan yangu lakini sina mtaji dooh masikin mie! Tusaidiane ndugu zangu maisha magumu familia inanitegemea.