Kilemachocho
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 560
- 365
Wana body kama heading inavyojieleza hapo juu budget yangu ya m7 kwa gari aina ya toyota Alteza,carina na rv4 no D au C kwa mtu mwenye nayo ani pm
Noah hapana mkuuNi Pm nikupe Noah mkuu. Iko Safi kabisa mashine ya Ukweli
I See sawa mkuuRav4 ipi no, D utapata kwa hiyo senti..?
Toyota Funcargo utachukua mkuu kwa 6.8ml INA sports rims, tyres mpya, Battery mpya, alarm system, DVD touch music system, seat covers, fully body kitted nicheck kwa 0687672672Wana body kama heading inavyojieleza hapo juu budget yangu ya m7 kwa gari aina ya toyota Alteza,carina na rv4 no D au C kwa mtu mwenye nayo ani pm
Kuna mtu ana altezza CQ anauza kwa hyo beiWana body kama heading inavyojieleza hapo juu budget yangu ya m7 kwa gari aina ya toyota Alteza,carina na rv4 no D au C kwa mtu mwenye nayo ani pm
Asante mkuu nimeshapata leo nimeilipiaKuna mtu ana altezza CQ anauza kwa hyo bei
Nimeshapata alteza mkuu shukrani for your concernNcheki nikupe carina ti au ist kaliii zote namba C 0689315582
Mkuu nashukuru nimepata kupitia huku asante sanaIngia hapa Buy & Sell Cars, Houses, Electronics – Tanzania | Kupatana ,yapo ya kumwaga.