Nina 5ml ninahitaji gari la maana

Nina 5ml ninahitaji gari la maana

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,249
Habari wakuu,

Nina 5ml ninahitaji gari lenye sifa hizi.
linatumia petrol.
AUTOMATIC
Lisizidi 2000cc engine size.
Bodi liwe na rangi safi toka kiwandani na sio ya kupakwa.

Nipeni stori
 
Sena nahitaji gari LA maana kulingana na pesa yangu braza
 
Corona premier
 

Attachments

  • 1434532367189.jpg
    1434532367189.jpg
    38 KB · Views: 141
  • 1434532398535.jpg
    1434532398535.jpg
    62.8 KB · Views: 130
Kakat mzigo huo ina speed 260 hyo corona premier bei ni 5m kamili kama unataka kuna jamaa anayo kigamboni
 
Back
Top Bottom