AsantePoleni wadau nahitaji canter tipa ton 2 engine 32 au 33 namba yeyote au isuzu tipa ton 2 iwe bomba usisahau picha ahsanteni
OkOffer hiyo ni kikwazo
Ova
Kwa Pesa hiyo?bado uko chini sana,otherwise unataka Gari ya kukusumbuaPoleni wadau nahitaji canter tipa ton 2 engine 32 au 33 namba yeyote au isuzu tipa ton 2 iwe bomba usisahau picha ahsanteni
Good ideahiyo pesa fungulia biashara ya kuuza chup! za mtumba.. sorry😱😱
Nimepata asanteniKwa Pesa hiyo?bado uko chini sana,otherwise unataka Gari ya kukusumbua