Nina 1.3m, natafuta ps5

Sony waliweza kuonesha tofauti kubwa kwenye playstation 2 tu... yaani mtu aliyecheza playstation 1 alipoicheza ps2 akakubali sony wameumiza kichwa .

Ila zilizofata ps3, ps4 , ps 5 game play yake na graphics zinafanana fanana
Tofauti ziko kwenye 1,2 na 3 tu.

Kuanzia PS4 maboresho yalishafikia mbali sana kiasi kwamba tofauti ni za hardware tu ila muonekano wa graphics unafanana
 
Sony waliweza kuonesha tofauti kubwa kwenye playstation 2 tu... yaani mtu aliyecheza playstation 1 alipoicheza ps2 akakubali sony wameumiza kichwa .

Ila zilizofata ps3, ps4 , ps 5 game play yake na graphics zinafanana fanana
Ps2 na ps 3 zina utofauti sana.. ps 3 na ps 4 zina utofauti mkubwa sana.. na ps 5 na ps 4 hazina utofauti sana
 
Utofauti upo mkubwa :

kwenye graphics, tatizo ni TV tunazotumia, tumia TV kama 4K QLED, 8K na kuendelea.

pia hizi PS4 ina compatibility na accessories nyingi ikiwepo VR etc

Pia acceleration na stance kwenye ps5 iko juu.
Sure utofauti upo kwenye graphics tena utaona kupitia TV yenye resolusion ya juu, Japo kidogo Ps4 Pro inaweza ingia kwa Ps5.

Refer Ps4 Pro vs slim na fat utofauti wake ulipo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…