Nimwambie hali halisi?

Ushauri wako utafikiri unampa mtu mzima, kumbe katoto kalikofeli form 4 mwaka jana, anakwambia sina mpango wa kuwa na mtoto mwaka huu na kasisitiza sjui ya Mungu anayajua??
 
Wewe ni fala, demu amekuacha...ameenda huko yamemshinda anataka kujirudisha kwako na wewe unataka kukubali kurudiana. Huu utakuwa ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge.

Take yourtime. Atakuwa ana cheza na hisia zako tu, wakati anatafuta Mr. Right wake. Achana naye.

Endelea na huyo mpyatapendana on tje way.
 
Ulimwambia hutaki mtoto kwa sasa...na anakwambia ana mimba. Ushauri wangu nenda naye hospitali ukampime ujiridhishe kama kweli ana mimba...kama zimepita siku14 tangu msex, nunua kipimo akikojolee then cheki mistari. Kama kweli ana mimba lea mtoto...usimshauri atoe.
Ni hayo tu
 
Shetani atakupepeta kama ngano mdogo wangu.
 
Alimaliza tar 27, je alianza tar ngapi? Km ameingia siku mbili je? 26, 27 akamaliza kuna wengine wana shida iyo, kuna watu wanapata Mimba adi siku ya 19
Alianza tar24-27
 
Kama alimaliza tarehe 27/1

Tuchukulie alianza tarehe 24/1

Wewe umekuja kumtomba taree 14/2


Niwazi siku zake zakupata mimba zilikua kati ya tarehe 3--8 ambapo Yai lilitegemewa kutoka tarehe 6/2

Kuanzia tarehe 9 mpaka iyo 14 ulomtomba, mpaka leo hii , HIZO SIO SIKU ZA MIMBA.



nahitimisha kwa kusema kua, MIMBA SIO YAKO.
 
Lea mimba hiyo acha ukauzu,,hayo ni matokeo ya ulichokifanya sasa unashangaa nini?
 
Kaka nna malengo mengine kabisa kwa mwaka huu hili la ujauzito litanitoa kwenye mstari vibaya na nnahisi kuna kitu ananichezea mchezo huyu binti mpya

Ebu kama unajua kusoma calendar za wanawake hiyo tarehe inawezekana ashike ujauzito?
Ndio anashika ujauzito tena vizuri tu
Hesabu kuanzia Tarehe 27
 
Mizunguko ya wadada siku hizi wao wenyewe hawaielewi yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa wewe jidai unajua mahesabu

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…