Comrade mbona majibu yako wazi tu kwenye hill suala lako huyo demu wako wa zamani piga tofali mazima yaani unataka uuwe kiumbe kwa ajili ya huyo mpuuzi wako wa zamani? Huyo kipindi anakuzingua alishapata MTU sasa mambo yamemchachia ndio anataka kurudi kwako ogopa sana hawa viumbe, kingine cha kujifunza usipende /hutakiwi kupenda kwa moyo, penda kwa akili mana hawa viumbe tamaa ziko mbele sana huyo mwanamke piga chini angalia mbele.Habari wakuu
Kuna binti nilikua nampenda sana na tumekua nae kwenye mahusiano kwa yapata mwaka mmoja
Badae alianza kubadilika hasa linapokuja suala la kunyanduana yani nikwa manati sana
kiufupi nikawa mpenzi wa kuitwa kwenye sms tu so nikaamua kumpotezea kimya kimya na nikiri wazi Jf ilikua chuo changu kizuri cha kufanikisha hilo.
Mwezi huu nilianza mahusiano na binti mwingine ingawa nilimuweka wazi kwamba sina mpango wa kupata mtoto mwaka huu
Siku ya valentine ndo tukazindua rasmi penzi kwa ku do na kulingana na mzunguko wake alonambia sikua na shaka kabisa maana alimaliza period 27 January
Sasa changamoto ni kuwa kuanzia juzi huyu binti mpya alinambia kuhusu mabadiliko ya kiafya yanayoashiria ujauzito na leo kapima kanambia ni mjamzito kibaya sina hisia nae kiivo kama yule binti alopita.
Cha ajabu binti alopita leo kanitafuta akaniita majina mazuri na akanambia anataka penzi letu tulianze upya kwani amegundua hawezi kupata furaha popote zaidi yangu.
Kiukweli nimehisi hasira sana maana yeye ndio amepelekea mpaka mimi kuwa na mtu ambae sikutarajia na mpaka sasa kuna dalili za mimi kuingia tena kwenye issue za kutoa kiumbe ambavo sikutarajia.
So nataka nimwambie hii issue ilonikuta sababu yake ili ajue cha kufanya
Je nitakua sahihi au nimechanganyikiwa.
πππππswala la mzunguko wa kuingia mwezini inabidi wanaume wengine wafundishwe kwa fimbo.
Afu yeye ndio yuko mstari wa mbele kunipa moyo na ananiambia suala la kutoa ni rahisi tu kama pesa ipoWe shwain ukiona binti anajibana kwako jua hilo tunda kuna niga analimega kila anapojisikia.
Sasa ukute huyo niga kakataa mimba huko kakutafuta wewe akulengeshe.
Shtuka. Utaweza kulea watoto wawili mmoja wa kusingiziwa?
Yeye alinambia aliingia tar24 january akamaliza 27Aliingia mkuuView attachment 1713608
Kweli kaka sio kwamba nataka nirudiane nae ila pia najiuliza kuhusu huyu mpya maana tarehe alizoanza period na kumaliza nahisi kama nataka kushikishwa hiviComrade mbona majibu yako wazi tu kwenye hill suala lako huyo demu wako wa zamani piga tofali mazima yaani unataka uuwe kiumbe kwa ajili ya huyo mpuuzi wako wa zamani? Huyo kipindi anakuzingua alishapata MTU sasa mambo yamemchachia ndio anataka kurudi kwako ogopa sana hawa viumbe, kingine cha kujifunza usipende /hutakiwi kupenda kwa moyo, penda kwa akili mana hawa viumbe tamaa ziko mbele sana huyo mwanamke piga chini angalia mbele.
Asa madam kwa uelewa wako kama mwanamke hivi ukianza tar24 january ukamaliza 27,tarehe14 ya mwezi unaofuata ni danger?swala la mzunguko wa kuingia mwezini inabidi wanaume wengine wafundishwe kwa fimbo.
Sio mimi tu hata yeye muhusika anasisitiza kuitoaKutoa kiumbe ten kwan ukiiacha utapungukiwa nn?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nmekaa zang nmejichokea nnaangalia tv mara namwona mchumba wang anaombewa kwa mwaposa apate bwana.kweli dunia haina huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] why?swala la mzunguko wa kuingia mwezini inabidi wanaume wengine wafundishwe kwa fimbo.
Unajuwa katika mizunguko wa hedhi kwa mwanamke anza kuhesabu siku anayoanza kuwa hedhini mpaka siku ya kumi na moja haijalishi hedhi yake inakoma kwa muda gani. Kuanzia hiyo siku ya kumi na moja hapo ndio danger zone inapoanzia sasa inabidi uvute kumbukumbu zako kwamba mlifanya tendo la jimai siku IPI? Kingine katika mahusiano lazima tuwe na maamuzi magumu maana wkt mwingine unaona kabisa mwanamke wako anaenda ndivyo sivyo lkn eti mwanaume unavuta subira labda atabadilika, Comrade ukiona demu ameanza kuleta mapuuza pasipo na madhaifu yako huyo tayari ameshaanza kuuza mechi, Piga tofali kabla hajakupiga yeye hawa viumbe ni zaidi ya Firauni tamaa zimewazidi mno baadae akifeli huko alikoenda utakuta anarudi tena kwako tena na majuto juu. Wanaume Tupende kwa akili wazee ukiona mapuuza yameanza usichelewe muwahi kabla hajakuwahi.Kweli kaka sio kwamba nataka nirudiane nae ila pia najiuliza kuhusu huyu mpya maana tarehe alizoanza period na kumaliza nahisi kama nataka kushikishwa hivi
Alimaliza tar 27, je alianza tar ngapi? Km ameingia siku mbili je? 26, 27 akamaliza kuna wengine wana shida iyo, kuna watu wanapata Mimba adi siku ya 19N
Mkuu mbona unaibiwa kizembe kama alimaliza tarehe 27 januari ina maana mpaka siku ya valentine (14/feb) kimzunguko yupo siku ya 23 au 22 ambazo ni siku salama kabisa yani hawezi pata mimba.
Ila pia kuna sababu nyingi ambazo zinachangia mwanamke kupata ujauzito bila kupangilia mfano.
1).Kama siku zake zinabadilika badilika kutokana na magonjwa ya kudumu ,mood changes,hormonal imbalance ,diet pamoja na madawa ambayo anayatumia.
2).Anakupanga tu akupige pesa ndefu .
Ni hayo tu
wanaume wengi hawajui na ni muhimu wajue kwa mustakabali wao mambo kama haya angekua anajua hiyo elim asingesumbuka kujua mimba imeingia lini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] why?
ulitakiwa ujue ana mzunguko wa siku ngapi na tarehe ya kuanza bleed na ya kumaliza sasa unamwambia tu mim staki mtoto huku hujui unategemea nini??Asa madam kwa uelewa wako kama mwanamke hivi ukianza tar24 january ukamaliza 27,tarehe14 ya mwezi unaofuata ni danger?