Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
pole kwa yanayo kusibu but 2mia uuume wako na busara zako.:tape:
uume tena!
pole kwa yanayo kusibu but 2mia uuume wako na busara zako.:tape:
huyo tayari si wako labda tu uende kuconfirm tu kumalizia ulichobakiza!nina mpenzi wangu kwa muda kama wa miezi mitatu hatukua pamoja coz kila mtu alkua mbali akishughulikia mambo yake but mawasiliano yalikua mazuri na hapakua na dalili yeyote ya kutengana lakini ni kama wiki mbili ivi tangu tumekua karibu tena lakini mwenzangu response yake imekua ndogo xana sometimz ukimpigia cm hapoke sms hajibu daa! simwelew inshort sasa najiuliza nikae nae nimwulize au nijue ndo tayari xo wangu tena
Khaa! Kuumbe!
Wacha nikagoogle mistari nije niongee na wewe!!!!
Mbona sa unacheka?
Au mistari ya kugoogle haikuingii?