Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,533
Habari zenu wana mmu!
Binafsi niko poa ila kuna jambo linaniumiza sana akili. Kuhusu hatma ya MAISHA yangu kimahusiano.
Tangu niachane na mke wangu mwaka 2019 sikuwa mtu wa imani na ndoa ila kadri muda unavyozidi kwenda naona maji yanazidi unga.
Katika maandalizi ya kusaka mke nilianza kwa binti E** huyu binti kiukweli ni mdogio kiumri ni wa 2002 nikamtongoza na kunielewa na mzigo nikala.
Binti wa pili anaitwa A***H huyu mdada ni pregnant nilijaribu kumuuliza akaniambia mumewe anamfanya Kama mke mdogo. Mumewa ana mke na mtoto wanaishi kahama. Huyu binti kiukweli anadai ananipenda kuliko mumewe na yupo tayari kuachana na mumewe ili awe mke wangu
Kiukweli nae nilishamla.
Wa tatu anaitwa E***A kidizaini huyu binti ni mkarimu na mwenye heshima, anatii wito na Hana pingamizi lolote kwangu ninapomuhitaji kiukweli anajitolea Sana kwangu pia hajui KUOMBA HELA Ila nae nilishamla.
Wengi husema mapenzi ni hisia nisiwe muongo
Kwa E** sifeel chochote I mean sifurahii penzi lake na ni mvivu kitandani na sijawahi ku cum kwake nimejaribu kumwambia tuachane naona haelewi.
Kwa A***H huyu Dada anajua utamu wasl MRUNGURAA yaani tukikutana kesho shuka lazima zifuliwe nimtamu kupita wenzake kiukweli naridhika anaridhika na Mimi and SHE IS MY CHOICE. But vipi kuhusu mimba na baba muhusika wa hiyo mimbaa HAPO NDO KICHWA KINAUMA.
Kwa E***A huyu Dada nilisex nae anajituma sana kitandani ila haoneshi kuitikia mikito I mean anajituma kuni satisfy Mimi TU hii inanipa wasiwasi Sana Kuna mengi nayaona mbele ya MAISHA yetu ya ndoa ndio maana nasita kumpa IDHINI kuwa Mke.
Kwa namna nilivyoeleza nahitaji ushauri kuoka kwenu ni Nani nikuweke ndani awe mke ?
TAMATI