Nimueleweje?

Nimueleweje?

Daullah

Senior Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
190
Reaction score
46
Hivi nyie kina dada (baadhi yenu) mbona mnakuwa hamujielewi hasa pale mtu anapoonyesha hisia zake za dhati kwako?

Unakuta mtu anakupgia simu hupokei, anaku text hujibu on time na matokeo yake unakuja kujibu baada ya masaa kadhaa baada ya kujisikia kwamba ndo muda sahii wauijb sms, lakini jamaa anapoamua sasa kuuchuna kwa muda wa siku moja tuu! lawama kibao zinaanza, mara ohh unantenga cku hz, oohh unajsikia mwisho wa siku utaambiwa unaringa. Sasa nyinyi tuwaeleweje jaman mbona sisi mnatuchunia tunakubaliana na hali halisi japo inauma?
 
hv nyie kna dada(baadhi yenu) mbna mnakuwa hamujielewi hasa aple mtu anapoonyesha hisia zake za dhati kwko?unakuta mtu anakupgia cmu hupokei,anaku txt hujib on tym na matokeo yake unakja kujbu baada ya masaa kadhaa baada ya kujickia kwmba ndo muda sahii wauijb sms,lakin jamaa anapoamua sasa kuuchuna kwa muda wa cku moja tuu!lawama kbao znaanza mara ohh unantenga cku hz,oohh unajckia mwsho wa cku utaambiwa unaringa !sasa nyinyi tuwaeleweje jman mbona cc mnatuchunia tunakubaliana na hali halisi japo inauma?

kwani hana wazazi kama wapo waambie wazazi wake sisi hata hatumjui tungekuwa tunamjua tungekusaidia
 
.........si anao utamu.....lazima akuzingue.......ushambandua?
 
Ni kwa sababu anajua huna kipya, anatamani hata akumisi kidogo ila wewe huelewi.... simu kila saaa.. kwani yeye ni mgonjwa? hata mgonjwa simu za mara kwa mara unamuongezea ugonjwa zaidi.

Anajua tu unamuuliza umekula nini, umevaa nini apo, nimekumisi, unakumbushia mambo ya kale tu, ooh unajua nakupenda (ili iweje), uko na nani, unafanya nini, unaleta stori zako zisizo na kichwa wala miguu. Ameshachoka sasa.

Back
Top Bottom