MP cycle za wasichana wa umri wako huwa hazina msimamo sana,kuzihesabu sio jambo la kutumia kuzuia mimba kwani hazitabiriki!All in all,imeshatokea na kwa sasa inabidi uwe jasiri na mwenye busara,mimba sio sumu binti,kadri utakavyoonyesha ujasiri wa kumudu hii hali ndivyo baadaye utakavyoheshimika kama mama.Huyo jamaa ni muoga tu,wote tumetokea kwenye mimba,waeleze wazazi wako namna ya kuongea naye huyo man wako,then ukiweza mhakikishie kwamba hatolazimishwa kukuchukua ama kukuoa kwa sasa,vilevile...USISAHAU KUSALI!Mlilie Mungu wako wakati huu wa shida na atakusikia!
Utalaumiwa sana,utasemwa sana,utadharauliwa sana lakini ukiweza kusimama na kusonga mbele,WATAKUSIFIA BAADAYE!!!
Ama kweli wewe tindikali!!!!Hajaomba lawama,kaomba ushauri,na kama unaona huwezi kumshauri kwa hilo,PIGA KIMYA!
Imeshapita hiyo,umechelewa kwa sasa anaomba ushauri baada ya matokeo!kwa akili ya kawaida tu unadhan anaweza akaomba lawama? Hapa lazima akubali kwamba alifanya uzembe na makosa. Simuelewi anapodai wanaaminiana na wanajua status zao, lakini kavuna alichokipanda. Ikiwa alipanda mihogo hawezi kuvuna miwa, ila kikubwa akubali matokeo.,hasijaribu kumlazimisha huyo jamaa kufanya asìchotaka. Wengi yamewakuta, walijiamini kama wao, maisha yalisonga na wako na furaha na watoto.
thnkx rocky 4 adv.
nakushauri usimshinikize huyo mwenzako maana inaonekana ni muoga bado hasa kwa kitu km hicho,ukimbana sana hataonekana tena na atakuwa anakukimbia,jaribu kumtia moyo kwani naye ana wkt mgumu pia,ilimradi bado yupo karibu nawe basi hamna shinda,taratibu atarejea na wala usimgombeze wala kumtisha,tayari yameishatokea inakubidi kuwa na busara sana wkt unaongea nae ili aone umuhimu wa kuwa nawe ktk maishaHabari zenu wana jamii?
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20,nina boyfriend ambaye tulitokea kupendana sn. Ktk mahusianö ye2 ikatokea kuwa nimepata ujauzito kwa bahati mbaya.
Kiukweli cjawah kushiriki vitendo vya abortion hvyo niliogopa sn na kuamua kuitunza hii mimba kwa kuwa pia muhusika alikuwa tayari na aliniahidi kuwa pa1ja nami hadi mwisho na kuwa baba mzuri kwa kaming kid wake.
Tatizo,ni miezi5 sa2 tangu niwe mjamzto nyumbani kwe2 wanataka kumjua mwanaume aliyenipa mimba hii aende rasmi akajitambulishe na kuhaki2shia familia kuwa huu mzigo ni wake. Mwanaume hataki ht kusikia kwenda home,na kanihaki2shia hatafanya hvyo kamwe.
Mimi hii inaniumiza kichwa sn kwani cjui huyu mwanaume amepanga ni2 badae kwa kusema hvyo ingawaje ananihakikishia atawajibika km ba2 kwa mtoto wake . Then home watanielewaje coz ht cjui jibu la kuwapa. Nisaidieni ushauri wanajamii.
ninavyojua mimi bahati mbaya haipo, ila kuna uzembe. Ulikuwa unakimbilia wapi? Hivi wakati unampanulia miguu ulikuja kuomba ushauri? Ndiyo maana mnafeli, lazima utakuwa na zero wewe.
Jmturu
Pole na jilo. Hata hivyo naomba nikupongeze kwa ujasiri wako wa kuilea mimba yako. Kwa hilo unastahili smile moyoni.
Mradi umeshajitambua kuwa una uja uzito na unatakiwa kujifungua mtoto huyo. Ongea vizuri na wazazi wakupe support katika kipindi hiki. Usihangaike na mwenye mimba kwani kama ulivyoweka hapa hujui ni kwa nini ameamua hivyo alivyoamua. Wengi hapa tunaassume tu kuwa ni uwoga lakini mwenyewe kasema hatofanya hilo bila kukweleza kwa nini. Mwache kwa sababu kama ni uoga, ukimlazimisha haimsaidii sana sana itamtia hacra na kumkimbiza kabisa. Mwache ajitambue mwenyewe atakuja tu kama ndiye uliyepangiwa awe wako.
Inawezekana tunasema ni uwoga kumbe yeye alikuwa ni mharibifu tu, hana mpango wa wewe wala mtotot. So usimalize nguvu zako na kumnyima mtotot afya njema akiwa tumboni. heshimu maamuzi yake na kaa kimya.
Kila la kheri.