Fordy the gr8t
Member
- Mar 10, 2017
- 45
- 25
Muache mkuu na uende wodini ukafanye booking kwa mtoto yeyote wa kike atakayezaliwa umlee na umfundishe tabia uitakayo badae umuoe hawa utakaokutanao ukubwani huwezi kupata aliekamilika kwa asilimia zote kikubwa ni kuvumiliana tu.Nina mke ambae kila mara tunakuwa tunashindana kitAbiA na amekuwa akitaka utawala furani ndani ya nyumba kuna siku nilistuka aliponiambia kuwa eti endapo siku nitachepuka nayeye akajua lazim nayeye achepuke, hapo alinifanya nimshushe kwa % ya kuwa mke bora kwangu.
Naombeni ushauri wenu wana jf.
Mwanaume kuchepuka ni sunaJe wewe ni mme bora?Usimwache mkeo.