Nimtongoze tena?

Nimtongoze tena?

Bin Shaib

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,349
Reaction score
1,223
Habari za uzima wana JF, natumai hamjambo nyote na niwazima wa afya,.

Maada.:

Tusichelewe sana kunako majamboz, mnamo mwaka 2018 nilimpenda binti ambae aliusumbua moyo wangu sana, nilimfukuzia lakini akanitolea nje akanambia nikome na nisimfuatilie.

Pote nimetembea sijaona msichana hadi kumfuata yeye. Alitokea kunichukia kabisa kutikana na harakati ya kumfuatilia yeye.

Basi mi nikawa nimeamua kujitoa taratibu japo niliumia sababu ni binti aliyekuwa moyoni sana, mwisho nilizoea nikasahau.

Hivi majuzi nashangaa mazoea kaanza kuyaleta mwenyewe kidogo kidogo, siku ya juma pili alikuwa na binti mmoja ambae wanasali kanisa moja, nilishaanga anikonyeza nakunambia vipi nikifanyie mipango? Yaani kwa yule demu sasa.

Walikuwa wanaenda kuteka maji bombani nikawa nimemwambia tutaongea baadae.

Lakini mpaka sasa sijampa jibu lolote

Nasahangaa sahizi nikimuita anakuja kunisikiliza je, namwitia kipi.
Mazoea haya siyaelewi je yana maana gani?

Vipi mabaharia nimwinukie kwa mara ya pili.

Nawasilisha.

©Bin Shaib Classic 2020
 
Yaani sasa hapa mzee unatakiwa upange game plan nzuri uwale wote wawili yaani unawagegeda na kuwaacha.
 
Mtokee yawezekana wakati una mfata kipnd kile alikuwa na mtu sasa hivi kaachika, kwahyo mtu wakusukuma gurudumu amekuchagua ww
 
Back
Top Bottom