ENGINE CONTROL
Senior Member
- Nov 20, 2011
- 136
- 28
Sasa wewe faaalla nini, hapo kuna kutongoza? nenda kale ngoma tu, angalia lakini? kapimeni wote wawili kabla hamjafanya hako kamchezo, maana mdudu siku hizi kawa sugu.
If I were you I wouldn't even burn a single brain cell thinking about her.
One, she's probably confused and doesn't know what she wants. And you really don't wanna hook up with someone like that who can pull a switcheroo on you without cause or any warning sign(s) whatsoever and leave you hanging in the air. I bet you wouldn't like that to happen to you.
Second, unless you know her love life very well, she could very well be on the rebound and just wants to use you as a transitional sidepiece. Now, do you really want that?
Third, she could just be playing mind games with you. Be careful.
So unless you are feeling her in some kind of way, I'd advise you to just keep it moving.
Sasa wewe faaalla nini, hapo kuna kutongoza? nenda kale ngoma tu, angalia lakini? kapimeni wote wawili kabla hamjafanya hako kamchezo, maana mdudu siku hizi kawa sugu.
Kuna msichana 1 nimempenda ila yeye simuelewi elewi.
Ni hivi mara ya kwanza mwaka jana mwez kama wa 5 nilimtongoza na akanitolea nje na kunitukana sana matusi.Cha ajabu some time alikuwa ananipigia simu tunaongea fresh ila nikimtumia sms ihusuyo mapenzi anang'aka na kunitukana sana cha ajabu kingine kwa dada zake marafiki zake anasema kuwa mim ni boyfriend wake. Nilimpotezea kwa mda sana mpaka mwaka huu naona sasa amekuja kwa kasi ya ajabu sana some time ananipigia simu na kunitaka niende kwao mim sikwenda akanilaumu sana,na anandugu yake anakaa mitaa ya home now amekuja na kasema amekuja kwa ajili yangu na yupo hapo kama wiki 2 na kafanya hivyo baada ya kumzingua kila alipokuwa anakuja nilikuwa namkwepa kuonana nae na kumwambia daily narudi usiku hivyo yeye kaamua kuchukua uamuzi huo ili apete onana na mim.
Msaada wenu je?? Nimtongoze tena au nimpotezee??
Kinachonikata maini mara ya kwanza nilipomtongoza alinitukana sana matusi na kunikejeri kwa maneno ya dharau.
Wewe kijana, unaamkia kutongoza asubuhi mapema hivi. Ngoja kupambazuke, watu wajadili mambo ya kujenga nchi, we unaamkia ku*****
Hujapenda wewe! Kama kuna uliowapenda hawakukuonyesha nini thamani zao! Kurudi utarudi na kubembeleza utabembeleza ooh i like watu wa namna hii misimamo yote nilikuwa naipindua upside down!We unamtaka wa nini wakati yeye alishakuambia hakutaki na amekutukana? mie msichana wa hivo huwa sirudi hata kidogo.
Tatizo langu mie nikimwambia msichana akileta sitaki nataka mie naondoa mguu mapema coz huwa sitaki kuumiza kichwa kwa jambo hilo naumiza sana kichwa ofisini na mambo mengine si kumtaka mtu.
Good day