Nimtazamo tu

Nimtazamo tu

Nimekaa nimewaza jambo fulani ,
Hivi kila mahali kuna manabii.
According to the bible kuna watu badhii walikuwa manabii. Ila saivi kila kona ya nchi manabii wapo sasa najiuliza kila mtu ameagizwa tanzania au africa kuwaokoa kilichopotea??
nimeluelewa sasa iko hivi wengi ni waongo hata bible ilisema wataibuka manabii wa uongo
 
Biblia ,dini na fix zote za kiimani , ndio zimezaa hayo mapandikizi kwa mgongo wa imani , na fix za kiroho.
 
Kuna sehemu nilisoma, wanasema ni 'advancement of witch doctors'; badala ya kutumia nyembe na vibuyu, sasa hivi unapigwa neno, maji, na mafuta.
 
Manabii wapo wengi Kila nchi...

Kazi kwako kujua wa kweli na uongo...
 
Wapo wengi sana tu. Tatizo la Africa, specifically Tanzania, demand ipo juu sana. Watu wanayapenda sana hayo mambo kuliko maelezo, nao wanatumia mwanya huo.

Kwa kuwa huku hawaamini sana mambo ya unabii, wamewabatiza jina la Psychic ama Hellseher.
 
Nimekaa nimewaza jambo fulani ,
Hivi kila mahali kuna manabii.
According to the bible kuna watu badhii walikuwa manabii. Ila saivi kila kona ya nchi manabii wapo sasa najiuliza kila mtu ameagizwa tanzania au africa kuwaokoa kilichopotea??
Hao wengi ni waganga wa kienyeji wenye kujificha kwenye suti. Agenda yao ni moja tu kuiba,kuchinja na kuangamiza kama afanyavyo Baba yao ibilisi tangu zamani. Hawana kukemea dhambi, toba ya msalaba wala emphasize ya maisha matakatifu kwa uzima wa milele. Watakokota wengi kuzimu, kama watu wakikosa maarifa.
 
Back
Top Bottom