Nimshauri Vipi wana JF..!

Muelekeze kwangu ninayo dawa. Kwani mpaka sasa wana muda gani ktk ndoa yao?
 
Kama shida ni mtoto si waende waka adopt mbona watoto wengi tu....
 
Kama shida ni mtoto si waende waka adopt mbona watoto wengi tu....

Hapo ndipo wanaume wetu wa kiswahili wanapopakataa wakat kuna vitu vingine Mungu Mwenyewe ana viweka kwa makusud...lakin wao suala la ku adopt hata kusikia hawatak. Anaona ataonekana mpuuz mbele ya jamii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…