Nimsaidiaje mke wa mtu anayenyanyaswa na mume wake?

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
26,790
Reaction score
41,286
Niliwahi kumuomba uchumba miaka mingi iliyopita, hakunikubalia kwani tayari alikuwa kachumbiwa na harusi ilikuwa inakaribia. Walifunga ndoa na kuanza kuishi maisha ya ndoa, wamezaa watoto wawili.

Mke anadai mume wake anamnyanyasa, anampiga na kumfanyia visa vingi ikiwemo kumtishia waachane. Bwana ni mtumishi wa idara nyeti na ana mafanikio makubwa katika ajira yake. Bibi anadai amechoka na sasa anaenda kufungua mashauri apewe talaka ili akaishi maisha mapya yasiyo na msongo wa mawazo.

Anatamani sana mimi ndiye niwe mume wake mpya na anajuta kwa nini alinitolea nje wakati ule namuomba awe mke wangu. Anatamani sana kuwa nami kwani anaona kwangu ndio angefurahia maisha ya ndoa. Nifanyaje?

Nimuokoe kutoka kwenye ndoa ya manyanyaso? Namuonea huruma sana. Nikimuoa hata kama watapeana talaka na jamaa yake si itakuwa vita kati yangu na huyo mtalaka wake? Huyo mwanamke ananiamini sana mimi kuwa ataishi kwa amani na upendo. Akiachika nimchukue au nimuache ajibebe mwenyewe?
 
wewe unataka nini?
 
Achana na yasiyokuhusu
 
Kataa baiskeli uiokoe Tanzania
Mkuu wewe ndio umeandika hivi kweli? Chawa mmeanza kupata akili
1750236838786.png
1750236885030.png
1750236854068.png
 
Back
Top Bottom