CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 11,838
- 26,575
Katuni si mnamuita putin,huwa mnasifia wachezaji wenu wakati ni wabovu.Habari Wana jukwaa.
Nitaandika kwa KIFUPI Mno.
NIMPONGEZE muwekezaji Mohamed Gulam DEWJI kwa kuipeleka timu Dubai kwa maandalizi ya MICHEZO ya KLABU BINGWA na kujiweka tayari kwa LIGI KUU.
Mchezaji Bora wa Simba kwa Miaka MIWILI Baada ya kuondoka Chama ni Henock Inonga.
Inonga Amepata Jerahi dhidi ya Tanzania Prison kwanini Aachwe Dar es salaam Asiende kupata MATIBABU Dubai?????
Dubai Kuna Vifaa Tiba.
Kuna wataalamu.
Kuna MADAWA.
Kuna madaktari BINGWA nknk.
HILI LIMENISIKITISHA SANA.
2 MO.
TUNAOMBA uajiri MKURUGENZI wa Ufundi Simba.
Usajili kama
Dejan.
Okwa.
Akpan.
Banda.
Kanute.
Okra.
Huu ni usajili mbovu sana.
Hawa wachezaji ni Mzigo kwa KLABU.
Nyoni.
Boko.
Mkude.
Gadiel.
KIBU.
Kyombo.
Hawa ni TATIZO mno.
Huyu jamaa anamkomalia Boko utafikiri amemchukulia demuMbona Boko bado ana msaada Simba
Kanoute humtaki na ile kazi pale anafanya na mzamiru huioni? Bocco kila siku humuoni? Rudi kwenye timu yako ya utopolo utuachie timu yetu
Sijakuelewa... ila kwa wakristu tunaambiwa usitamani nyumba ya jirani yako wala mjakazi wake wala ngombe wake wala mke wakee... so tuacheni na Simba na Mo wetuHabari Wana jukwaa.
Nitaandika kwa KIFUPI Mno.
NIMPONGEZE muwekezaji Mohamed Gulam DEWJI kwa kuipeleka timu Dubai kwa maandalizi ya MICHEZO ya KLABU BINGWA na kujiweka tayari kwa LIGI KUU
Kanoute humtaki na ile kazi pale anafanya na mzamiru huioni? Bocco kila siku humuoni? Rudi kwenye timu yako ya utopolo utuachie timu yetu
Kwa taarifa tu fupi ni kuwa
Jana Kibu mazoezini amefunga magoli 17 kwenye dakika 70 na kocha alimchagua kuwa mchezaji bora wa mazoezi....
Sijakuelewa... ila kwa wakristu tunaambiwa usitamani nyumba ya jirani yako wala mjakazi wake wala ngombe wake wala mke wakee... so tuacheni na Simba na Mo wetu
Huyu jamaa anamkomalia Boko utafikiri amemchukulia demu
Ww una chuki binafisi na kanouti sio bure acha uboya kanouti ni bonge la kiungo.Kanute anajua kucheza Mi rafu tu.
Tena nitumie kiswahili japo kigumu Ili unielewe.
1.Hawezi kupiga pasi.
2. Ni mzito kugeuka Hana Frexibility.
3. Hawezi kuichezesha timu compare to Aucho akiwa 8 yanga.
4. Ana hasira nyingi sana.
5. Anaongoza kwa KadI za njano.
6. Sio fundi kabisa yani.
7. Vichwa vinamshinda.
8. Mashuti hakuna
Kanute ni galasa ana mpa kazi ngumu sana Inonga
Muwe mnajifunza mpira.
Simba Ina TATIZO kumbwa miaka NENDA MIAKA RUDI Wana shida ya No 8.
Huwa wanakuwa na wakabaji wazuri mno.
Lwanga.
Kotei.
MATOLA.
Mkude nk.
Hapo kwenye no 8 ni TATIZO mno