Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Nashindwa kuelewa kwa nini hapokei....kwa sababu kuna muda alinipigia nikawa bize,baada ya dk 10 kumpigia hapoke simu,nimepiga mara 7,hakuna kitu.
ha ha ha ha wakati mwingine kupiga chini roho inaniuma mkuuMlete kwangu nitakusaidia kulea mimba akijifungua uje umchukue mtoto wako
Angalau umesema wewe mwanaume mwenzieUmesha mpachika mimba binti wa watu '---halafu una Tafuta sababu za kumuacha
Baadae akija kuzaa mtoto --- mnakuja Jf na kuanza kuwa kashifu single mothers. ..
Huo sio Uungwana aise
ha ha h ah ha hapana mkuu mapenzi hayana umri,ndio maana mzee wa miaka 70 anakuwa mtoto kwa binti wa miaka 20 akinyonya maziwa.Vjana bwana
sasa we upokei unakua busy, lakini ye asipo pokea basi unahisi anatobw*
mwizi siku zote uhisi anaibiwa
pole tatzo ni umri wako mkuu nimesha guess na nimejua 27,28
Piga chiniha ha ha ha
ha ha ha ha nikikupatia namba hutoonekana jf utakuwa unakaba muda woteHahaha. .Daah! !!Kwahiyo kinacho kusumbua ni wivu?
Hebu nipe namba yake -ni jaribu kumpigia huwenda akapokea --kisha nimseme juu ya Tabia yake ya kuacha kupokea simu yako
ha ha ha ha nikikupatia namba hutoonekana jf utakuwa unakaba muda wote
ha ha ha ha haMichepuko kuna kipindi inajichetua na kukengeuka mpaka unatamani umuombe wife ushauri.
Wa kwangu una wiki hupokei simu wakati mara ya mwisho umenipa mambo matamu, sarakasi kama zote, na nilitegemea kumuomba wife apande cheo.
Tatizo moyo unashindwa kusukuma damu unakimbilia kupendaUnapigaje simu mara 7 mkuu? Mara moja inatosha sana na acha kujichoresha
Sawa mkuu,ngoja nijiandae kisaikolojia.Piga chini
Hauwezi kumuacha mkuu, cha msingi punguza wivu, umeoa wacha na yeye atafute wa kumuoaNataka nimpige chini mchepuko,nampigia simu inaita haipokelewi na mawazo yanayoniijia kichwani kwa kutokupokea simu nahisi labda ni dharau au anapigwa mashine,mbaya zaidi anaujauzito wangu na kuna fedha aliomba kwangu ingawa nakuwa mgumu kuitekeleza yote;sasa nataka nitumie huu upenyo wa kutokupokea simu nimpige chini.Waungwana, mnasemaje kuhusu hilo?
ha ha ha ha ha sawa mkuHauwezi kumuacha mkuu, cha msingi punguza wivu, umeoa wacha na yeye atafute wa kumuoa
Hahahahaha ,amenuna huyo !!! Mama kijacho lazima awe na moodsNashindwa kuelewa kwa nini hapokei....kwa sababu kuna muda alinipigia nikawa bize,baada ya dk 10 kumpigia hapoke simu,nimepiga mara 7,hakuna kitu.
Ndio changamoto za mapenzi hiziHahahahaha ,amenuna huyo !!! Mama kijacho lazima awe na moods
ha ha ha hahalafu kesho nikuone na wewe ukiwadhihaki single mother...
Usijisahau kuwa nawe ni mchepuko ivyo ngoma drooNataka nimpige chini mchepuko,nampigia simu inaita haipokelewi na mawazo yanayoniijia kichwani kwa kutokupokea simu nahisi labda ni dharau au anapigwa mashine,mbaya zaidi anaujauzito wangu na kuna fedha aliomba kwangu ingawa nakuwa mgumu kuitekeleza yote;sasa nataka nitumie huu upenyo wa kutokupokea simu nimpige chini.Waungwana, mnasemaje kuhusu hilo?
ha ha ha haUsijisahau kuwa nawe ni mchepuko ivyo ngoma droo
Kwani makubaliano yalikuwa?? Umemsaliti mkeo u? And ur complaining??Nataka nimpige chini mchepuko,nampigia simu inaita haipokelewi na mawazo yanayoniijia kichwani kwa kutokupokea simu nahisi labda ni dharau au anapigwa mashine,mbaya zaidi anaujauzito wangu na kuna fedha aliomba kwangu ingawa nakuwa mgumu kuitekeleza yote;sasa nataka nitumie huu upenyo wa kutokupokea simu nimpige chini.Waungwana, mnasemaje kuhusu hilo?