[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante mkuu
Asante sana
Sijui umejuaje mm ni mmama , hakuna shida
Ubarikiwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madam umekuwaje tena?Ila kuna watu wana stress jamani woiiii napita tu mm
Mkuu ila mm ujue ni dume la mbegu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wana mmu nimpende nani humu???
Mzigua90 maa mwenye ma iq yake makubwa
Shunie mrembo mwenye mbwembwe zake
Sakayo mwenye maringo yake
joanah mwenye majibu yake
cute b mwenye misemo yake
ledada
kapeace
Demiss
zeshchriss
Atoto
manengelo
dark angel
Daaaa ni wengi sana sijui hata nianzie wapi kupenda na sitaki kuacha hata mmoja