Nimpende nanii?

Nipo majii aahh ahh aiseee nasema nipo majii aii aii nipo maji


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kakusingizia aisee, kwanza wewe unaonekana nimrembo njee mpaka kitandani I wish one day tujikute 6*6
 
Kama nimekukosea naomba unisamehe [emoji120][emoji120][emoji120]
Nimechoka humu mnadharau wanawake sipendi kama umeniona mzee kwani mimi napenda kuolewa na nyie vitoto mimi napenda kuolewa na watu walioenda umri
 
Pole sana beby
 
Fanya fanya basi nikusikie japo ata sauti tu na roho yangu itapona
 
Hebu kaokote ukatafute hela mkuu, si nimekusaidia cha kufanya eeh?
Pesa ya mwanadamu sitakii natafuta furaha na ufalme wa mbinguni...sitokua mtumwa wa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…