Nimnunulie zawadi gani?

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
3,354
Reaction score
5,027
Zawadi gani yenye thamani ya elfu 20 au chini ya hiyo itamfaa mpenzi Wangu ambaye penzi bado jipya?
 
Mnunulie pizza huenda hajawai kula anazisikia tu. Atafurah sana wanawake wanapenda kula fanya hvo
 
Niliwaza hivyo pia
 
Ndo unataka umnunulie zawadi ya elf 20. Kua serious. Tafuta pesa umnunulie pete ya Tanzanite
Ndio uwezo nilionao kwa sasa Rafiki,hiyo tanzanite baadae sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…