SAYARI DUNIA
Member
- Jul 19, 2015
- 54
- 17
Nimekaa na baba yangu kwa miaka 19, lakini kumbe ni baba mlezi, hiyo imekuja baada ya baba ya halisi kujitokeza nikiwa form 'vi' nakunileza kila kitu kunihusu, ila tatizo mama hajaniambia chochote mpaka sasa.
USHAURI KWA WADAU JAMANI SIJUI NIBAKI KWA BABA MLEZI AU NIENDE KWA BABA HALISI.

alikuwa wapi siku zote aje atokee leo ukiwa tayar unaanza kutengeneza future yako?? vip mama anajua hilo?? mama zetu ndo hutambua baba halisi wa mtoto ukiona inakua ngumu kueleweka mshirikishe mama anaweza akawa na majibu juu ya jibu lako. usikimbilie kumhukum mtu tambua anything happens for a reason there must be a reason behind why mama hakukuambia siku zote hizo na utakapo ujua ukweli usimlaum mtu wote ni wazazi wako na kipi kimekufanya ukaamini faster faster kwamba huyo ndio baba yako mzazi?? mjini shule ndugu akili za kuambiwa + na zako jibu utapata.