Nimgaya shida! wehehe mpo?

wahehee wanawake huwa wana unyaya mkubwa...
source: soko la viatu vya mtumba vya kike maeneo ya iringa..ukienda na mzigo mkubwa wa size around 30s itakula kwako..peleka maviatu size ya hasheem thabeet ..havilali...
 
ukabila tu umewajaa watanzania..mnataja makabila mnataka kutambika?
 
Unataka kuoa huko au search yako inalenga nini hasa

Kwasifa hizo' mwanaume yeyote lazima atamani kuoa huko! Nani asiyependa kuwa na Mke mvumilivu? Au anajiamini na asiye natamaa?

Kama wew ni mhehe na ni ke' umeshafuzu vigezo wise tulonge be!
 
Mie pia ni mhehe na pia nimeoa mhehe toka kalenga na mie ni mkazi wa dabaga, wivu wanao lakini ishu ya malezi nawapa tano.
 
Mie pia ni mhehe na pia nimeoa mhehe toka kalenga na mie ni mkazi wa dabaga, wivu wanao lakini ishu ya malezi nawapa tano.

Asante wewe mwagito kwa mchango wako' wahehe wa mjini hawa naona wanazungika tu mbuyu!! Kama unazo zingine tupiamo.
 
Nadhani mleta uzi sifa za wadada wa kihehe umeshazipata,sasa wakalibishwa uwe shemeji yetu.
 
Back
Top Bottom