Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,647
Hawana tamaa, ni wavumilivu.
inawezekana
Hawana tamaa, ni wavumilivu.
^^
Nasikia ni wepesi sana kujaribu kujiua ktk mapenzi, hivi kweli?
^^
Ni wepesi kujiua. ...... swelaaaaaaa
Bee' mnogage!
ni kweli
Umepotea Makete sio wahehe ni Wakinga na tena kitabia wanatofautiana sana hao.Ndio maana wamekufa sana kule makete kwa upole wao
Mwanamke wa kihehe anashabihiana sana na mwanamke wa kikurya!
Hawatofautiani sana!
Sijajuaga sifa za wanawake wakikurya mkuu' hata hivyo nawao sifa zao nikama zilizoorodheshwa nawadau hapo juu au nizipi?
Weee........hatufanani hata kidogo......nani wa kupigwa badala ya kulia anacheka........
kweli? so wewe ni mkurya kwa muda huu?
Mimi sio mkurya.......mimi ni mhehe.......
wow! nawapendaga sana hawa!
hebu nambie mtoto mzuri.. kuna nafasi kwako nije mzima mzima?
mi sio bazazi lakini!
inawezekana
usijali preta... loving is always loving you and everything you have!
i appreciate you.. just let us join our beloved hearts...
iam here counting the stars.. just imagine how hard it is.. Preta..!!
You count.......don't forget the moon ooo.........