Nimgaya shida! wehehe mpo?

Nimgaya shida! wehehe mpo?

JJ10

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
282
Reaction score
133
Heshima kwenu wakuu!

Kwakweli siwafaham kiundani ndugu zangu wahehe zaidi yakuwasoma kwenye historia! Ila napata sifa za mabinti wakihehe' pia kuna wengine wananionesha hata mifano ya ndoa za watu waliofanikiwa kuishi na wanawake wakihehe.

Wanawake wakihehe wanasifiwa sana na baadhi ya sifa zao ni ;
1) kujiamini na kujitambua

2) Hawana tamaa' yaani ni watu wakuridhika nawalicho nacho na ndo hapo linapotokea neno NDIMGAYA SHIDA (kwamba hata kama ananjaa ukitaka kutumia njaa yake kumpata atakwambia sina shida)

3) walezi wazuri wafamilia

Hizo ni baadhi tu ya sifa nilizozipata!

Hata hivyo kila kizuri hakikosi kasoro' nawao pia naambiwa
1) wana hasira saana

2) wanapenda kudekezwa na kubembelezwa saana!

Huo ni wasifu mdogo nilioupata juu ya hawa wanawake wakutoka Iringa!

Najua tunawehehe wengi hapa jukwaani hivyo nategemea kupata uhalisia kutoka kwao au mtu anaewafaham vizuri hawa ndugu!

Kama wewe umeoa mhehe ebu tupe uzoefu.

Karibuni wandugu.
 
^^
Nasikia ni wepesi sana kujaribu kujiua ktk mapenzi, hivi kweli?
^^
 
Hahahahahah umenichekesha! Umenikumbusha mbali sana

Ni kweli Himidini

Umekumbushwa wapi? Ulishawahi kushudia tukio lanamna hiyo? Funguka mkuu!
 
Last edited by a moderator:
wanasema,'Ndimgaya sida'. Rekebisha kidogo.
 
Ndio maana wamekufa sana kule makete kwa upole wao
 
Raha ya ngoma ingia ucheze! Kiukweli wako poa sana' hasa kwenye malezi ya familia.

Ila wana wivu hao balaa!!
 
Mwanamke wa kihehe anashabihiana sana na mwanamke wa kikurya!

Hawatofautiani sana!
 
Mwanamke wa kihehe anashabihiana sana na mwanamke wa kikurya!

Hawatofautiani sana!

Sijajuaga sifa za wanawake wakikurya mkuu' hata hivyo nawao sifa zao nikama zilizoorodheshwa nawadau hapo juu au nizipi?
 
Back
Top Bottom