Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Nimeshapoa ,ila cko WalesPole upo wales nini?
Sio umbea dada yangu,ila kanichanganya kwa kweli maana weekend nikiwa nackiliza mnanda huwa na yy anakuja kuckiliza pia,halafu namtafsiria hizo nyimbo na tunapata ulabu pamoja hapa kwangu,sasa haya majibu yake ndio yamenichanganya au nisimruhusu kuja kwangu weekend hii?Na wewe kama sio umbea ni nini???Kama mngekua na ukaribu wa kutosha yeye kuja kukueleza mambo yake angeshakwambia kilichompeleka hosp ila hakufanya hivyo.....sasa wewe uliuliza ya nini!!!Kwasababu tu ni majirani haina maana anataka ujue mambo yake!!!
Hamna noma na mie nitamfungia vioohuko ulikohamia ni kila mtu na hamsini zake ndugu yangu Kama unashida ya salam ni Hello/hi, kwa ufupi hataki perepere nyingi tofauti na kule ulikotokea
Sio umbea dada yangu,ila kanichanganya kwa kweli maana weekend nikiwa nackiliza mnanda huwa na yy anakuja kuckiliza pia,halafu namtafsiria hizo nyimbo na tunapata ulabu pamoja hapa kwangu,sasa haya majibu yake ndio yamenichanganya au nisimruhusu kuja kwangu weekend hii?
Dada yangu,unanicheka tena jamani!hahahaaahhahah safi hiyo!!!!
Hamna nöma atafurahi na mziki wangu ataomba ardhi ipasuke iwe pa kukimbiliaKunywa bia pamoja na kushea personal issues ni vitu viwili tofauti!!Hata mimi kuna watu hata pesa naweza kuwakopa ila mambo yangu siwaambii!!Jua kila mtu analimit yake.....sasa yeye anakuchukulia kama drinking buddy which is not necessarily a friend so mind your own business!
Hamna nöma atafurahi na mziki wangu ataomba ardhi ipasuke iwe pa kukimbilia
Hamna nöma atafurahi na mziki wangu ataomba ardhi ipasuke iwe pa kukimbilia
Sio umbea dada yangu,mie nilikuwa na nia nzuri inawezekana ugonjwa wake babu wa Loliondo anaweza kumtibu ndio maana nikamuingia na gea hiyo, kuhusu pombe yy huwa anakuja na ulabu wake na kunywa kwanguEhhhh uache umbea...kunywa pombe maliza anza mbele!!!
Hapana sio masihara mkuu ni vitu vilivyonitokea.MIMI:Jirani salama lkn? Nilikuona ukitokea hospital vipi unaumwa au? Akanijibu.
JIRANI:mie mwenyewe nimekuona unatokea makaburini kwani umekufa au?
Mkuu samahani sana lakini hii hadithi inanipa mashaka kidogo. Si mara ya kwanza kulisikia kauli hii; sikumbuki wapi lakini ina"sound" kama "joke" vile.
Kwa nini ulipomuona anatoka hospital usifikirie kuwa kaenda kumwona jamaa yake anayefanyakazi pale? Kwa nini ukahusisha hospitali na yeye kuwa mgonjwa? Sasa ikiwa kila anayeonekana hospitali atakuwa anaumwa, kuna ubaya gani kwa anayeonekana makaburini kuwa amekufa?
Nishapoa ndugu,hamna shaka nitakuwa nawauliza kulaini zaidiIssue hapo wala si ublack wako, issue ni jinsi ulivyouliza, labda ungemuuliza; jirani are you OK? hapo ungempa uwanja jirani yako ukuambie kama yu mzima ama yumgonjwa...pole kwa kupewa tit for tat ila uwesikika kama unamdadisi.
Ilitakiwa nifanyeje?U me bilivu sana.