Nimfanye nini mke wangu huyu?


Aisee ushauri wa mwaka
 
Yote ntasamehee ila c kosa la usaliti!
 
Mruhusu hyo weekend atoke then akinyanyua mguu na wewe uwepo nyuma yake unamfatilia
Ila utakayoyakuta usje sema JF wamekuponza.
 
hamjaelewa hukonughaibuni wao wanakua chini ya mwanamke na huenda anaefanya kazi ni huyo mwanamke ndo anamhudumia yeye kila kitu na hana usemi juu ya hilo so madhal unaona hakuna njia we tulia tu la una njia toka katafute maisha kungine na usipende kuwa chini ya mwanamke tena tafuta vyako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anayejua umefahamu na badobanaendelea hiyo ni ujiulize haswaaaa... namba moja kakukosea heshima na alivyokoloea inaelekea hata mpira hatumii ni atakuletea magonjwa tu.. yaani atatenda na wengine.. kumyoosha mfukuze aende akafungue ubongo wake.. anakudharau sana kwa kukosa hata uoga duh.. Ila mwache aende usijali akirudi uwe umeweka vitu vyake nje na usifungue hata akiondoka usijali kuwa mwanaume. Jinga sana hilo kwanza kwa kutenda na wa kazini na kuzidi kukudharau.. muache aende kaa kama mjinga.. huyo hata vyooni kazini atakuwa anampa.. akirudi mizigo nje ageuzie huko.
 
Sitaki kuonekana nakukejeli ila umenikumbusha hadithi za Abunuwasi na wale watu wavivu watatu.

Nimesahau vyema visa vyao ila wewe unaweza kuwa mshindi wa pili hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ulijifanya lofa? Sijui huu uvumilivu mnautoa wapi?


bado hajamshika na kidhibiti!mie nahis hapo mwanamke bado anatongozwa tu! atulie apat uthibitisho! uvumilivu ni muhimu! na pia yeye ajiangalie ana udhaifu gan! hawachpukag bila sabab hao!(kama anamini mkewe alimpenda kweli)
 
bado hajamshika na kidhibiti!mie nahis hapo mwanamke bado anatongozwa tu! atulie apat uthibitisho! uvumilivu ni muhimu! na pia yeye ajiangalie ana udhaifu gan! hawachpukag bila sabab hao!(kama anamini mkewe alimpenda kweli)

ha ha ha ... dont personalize wewe binti ...
 
kuwa siriasi jamii forum si mahala pa hivyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
muache akuendeshe ila siku ukichoka mateso na usaliti najua tu tutapata mrejesho.
 
Kama moyo wako wa barafu, jitie ujinga life liende, kama we ni Marioo tulia tu huna namna.
Ila either humtoshelezi au umeoa kicheche.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni mzembe 100% yaani ushahidi wotr huo bado tu unalialia . Fukuza akake kwa huyo jamaa. We mwanaume bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simama kama mwanaume. Chukua cmu ya mkeo kaa nayo siku nzima. Yeye asitoke kwenda popote wala asiwe na cmu nyingine. Mshhinde wote home asbh hadi ucku. Asitoke kwenda popote hata dukan. Kitachotokea chukua hatua sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajifanya lofa ukweli ni kwamba wewe ni lofa na huyo mke wako amukuweka kwenye chupi, nwanaume mzima huon aibu kusimulia ujinga na uzembe uliopitiliza??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini unatumia x hizo?
 
Usipende kumchunguza sana mtu ambaye bado unampenda maana chances are there are 80% possibility ukamkuta na taarifa ambazo zitakuumiza...

Mwache utafute mwingine hapa JF! Kwa taarifa yako JF kuna watoto wakaree!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…