Nimfanye nini huyu mwanamke?

Acha ushamba bro .. dunia ya saivi kila mtu na mishe zake hao ndugu zake wakatie acha mazoea nao alafu ishi kibabe usiendeshwe na uchi wa mwananmke
 
Ushawahi kujaribu kujiuliza sex unayofanya wewe inamuathiri vipi mtoto wako mchanga aliyepo kilometer nyingi toka ulipo??

Kwa ufupi hakuna kitu kama icho mkuu.
Mkuu unawabishia wahenga, lisemwalo lipo huwezi jua kiimani au kiroho
 
Mkeo ni mzaramu? Samahani kwa kuuliza. Alafu nahisi unaishi na mteja wa Mirembe.
 
Ushawahi kujaribu kujiuliza sex unayofanya wewe inamuathiri vipi mtoto wako mchanga aliyepo kilometer nyingi toka ulipo??

Kwa ufupi hakuna kitu kama icho mkuu.
Chief hili. Nadhani linahitaji kabisa uzi wake maana hapa ndio wanaume wengi tunapigwa na kitu kizito.
Kwa maana najua madhara zaidi yapo kwa mama anayenyonyesha sasa na sisi wanaume tunaingiaje hapo?..
 
Hivi unajuana vipi na mwanamke mpaka unamuoa wakati akili hana na hujui?

Mwanamke ambaye hana akili unamjua siku ya kwanza tu ukiongea nae, huyo wako ni kilaza na hapo haoni kosa lake.

Mwanamke kupaza sauti kuliko wewe anapoongea ni dalili mojawapo ya kutokua na akili, dalili nyingine nafudisha kwenye darasa langu la online
 
Chief hili. Nadhani linahitaji kabisa uzi wake maana hapa ndio wanaume wengi tunapigwa na kitu kizito.
Kwa maana najua madhara zaidi yapo kwa mama anayenyonyesha sasa na sisi wanaume tunaingiaje hapo?..
Kwa mama anaenyonyesha Lina uhusiano makubwa sabu tendo hufanya consumption ya protein na energy Ivo mama Kuna namna atazalisha maziw yenye protein chache kwa afya nzur ya mtoto lakn kwa upande WA baba hakuna uhusiano
 
Kwani wapare wako vipi mkuu?
Hela hela, hao wanawake wa kipare 🙌! Very stressful..! Siwezi kumshauri hata ndugu yangu awe na mpare..! Sorry nitakao kuwa nimewakwaza.
 
wanataka kuleta uzungu kwangu
Chief usije ukatoa hela! Hiyo tabia inayooneshwa na mkeo ni mbaya sana. Mtu anaanza kusema mbona huwa unawatumia wazazi wako...aiseeh hapo mimi angekula kipigo na kumwondoa sipendi ujinga na kuleteana stress maisha menyewe mafupi haya na nilizaliwa peke yangu kwanini mtu baki akupe stress kwa mgongo wa ndoa.
Hizo pia ni sababu wanaume wengi wanatangulia kufarik wanaacha wake zao wakila bata..
 
Chief hili. Nadhani linahitaji kabisa uzi wake maana hapa ndio wanaume wengi tunapigwa na kitu kizito.
Kwa maana najua madhara zaidi yapo kwa mama anayenyonyesha sasa na sisi wanaume tunaingiaje hapo?..
Hapo ndio nashangaa mkuu. Hata kwa upande wa wanawake napo sidhani kama kuna madhara ya Moja kwa Moja yanayoenda kwa mtoto
 
Wewe na mkeo bado mna akili za kitoto yaani hamjakua. Hicho kitu wewr ulipaswa kukipotezea kama utani but wewe ni lijinga hujajua namna ya kuishi na kiumbe mwanamke. Ndoa yako inaenda kuvunjika kwa sababu ya kukosa hekima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…