Nimfanye nini huyu mwanamke?

Huyo ilitakiwa kipindi Dada yake anakuomba, uwachane ukweli wote wawili.
Ungemwambia kabisa dada mtu hiyo tabia yakukuomba omba pesa yeye na wenzie waache.

Na huyo mkeo ungemchana pia , huku ukiwakazia jiko kavu bila huruma.
 
ni tahira kweli. unajua so kwamba nimekataa kuombwa. lakini kwanini wahusika hawaniombi wenyewe? mpaka awapigie debe yeye? nimemwambia kama ndio ujinga wanaufanyaga dada zake kwenye miji yao yeye akienda huko. basi iyo michezo kwangu siitaki
Alivyofanya reference ya wazazi wako ndio nimeona ana wivu tena wivu mbaya.
 
Beby mama wangu alikuwa ana pigo hizo anmnyooshea mdogo wake kwangu wanaongea na simu anaweka loudspeaker,
mara ... ooh mi sina labda umwambie shemeji yako.
Mi namwambia poa akiomba 1 nampa nusu, nilipoona yamezidi nikamtongoza mdogo mtu na akaelekea kibla, japo sikumkula (maana mwanangu alikuwa bado mchanga nkaogopa kumbemenda)
ila nilimshikashika kila pembe ya nchi na ye alishika mpaka dyudyu afu nikamwacha nikasepa.
Sijui waliambizana maana tangu siku hiyo tabia hiyo imekoma na mazoea mdogo mtu kaacha kwanza ananiogopa.
 


Umeoa mke mjinga, na ni kwa sababu wewe ni Mpumbavu, IQ ya mke wako ni ndogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…