Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Abatmwe

Senior Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
110
Reaction score
79
Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.

Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo, sina ili na lile kumbe yeye na alishajua mie niko pale na kusema alishindwa kabisa kuwa nijifunike ili yeye apite, badala yake akaamua kupita ivyo ivyo na kuanza kusema samahani mara kaniamkia uku akipita nyuma yangu mikiwa sina ata chupi.

Mi kuona vile na sikuwa na la kufanya nikaamua kumuangalia tu na sikusema chochote.

Basi tangia siku ile kitu nilichokiona ni kama anataka kulipa fadhila za kuuona uchi wangu manake mara anakaa mapaja wazi , mara anajifanya amelala uku sehemu ya mwili wote wa mapaja ikiwa wazi uku akiwacha sehemu ya mlango wa chumbani kwake wazi ili nami nimuone na anafanya ivyo wakati wife hayupo nyumbani.

Sasa wadau mitihani imekuwa mingi akijikosha kwa alilolifanya na kwa kweli sijamwambia wife kuhusu lile tukio lote, ni mimi na yeye tu tunaojua.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini uyu dada wa kazi manake sasa vituko vimezidi nyumbani manake ni kama mtu anataka kuweka mambo sawa kwa kuwa ameniona nikiwa mtupu nae anataka mi nimuone vile vile.
 
ikiwa huna nia mbaya na huyo dada mpeleke kwao maana itafikia hatua uvumilivu utakushinda na kumkaribisha ibilisi kati yenu..........ila hapo kwa ubinadamu huyo dada kakosa heshima sana na imeonesha ni jinsi gani mnampa uhuru ulopetuka mipaka. housegairl aingie ndani akukute naked then umuangalie tu bila kufanya tukio la kusitir maungio ahahahahaha hailet maana.
 
Wewe unatakaje???!
Hilo ndo swali la msingi.

Mi nilitaka kulipiza kisasi naye angalau nimmege ili nimuone naye akiwa mtupu kama mie ila nafikiria sana kuwa kitawaka manake itakuwa mazoea nikishalianzisha, na kitu kizuri ni kwamba tulishakaa nae pale miaka minne sasa
 
hapa ndo uwezo wako wa kufikiri ulipofikia
 
Basi lipiza ili kisilale kwako, we sindio baba mwenye nyumba bana.
 
hapa ndo uwezo wako wa kufikiri ulipofikia

Yah ni kweli ila sasa inakaribia mwezi bado sijapata jibu, ila nahisi bora niachane nae tu na siwezi mfukuza manake ametulelea watoto wetu wawili sasa
 
Yah ni kweli ila sasa inakaribia mwezi bado sijapata jibu, ila nahisi bora niachane nae tu na siwezi mfukuza manake ametulelea watoto wetu wawili sasa

ahahhhahaa I respect your lies
 
mbanjue tu naona kama ndiyo unataka iwe hivyo... haha au wewe endelea kutembea uchi muone matokeo yatakuwaje?
 
ikiwa huna nia mbaya na huyo dada mpeleke kwao maana itafikia hatua uvumilivu utakushinda na kumkaribisha ibilisi kati yenu..........ila hapo kwa ubinadamu huyo dada kakosa heshima sana na imeonesha ni jinsi gani mnampa uhuru ulopetuka mipaka. housegairl aingie ndani akukute naked then umuangalie tu bila kufanya tukio la kusitir maungio ahahahahaha hailet maana.

Hapana ilikuwa ghafla sana na hata mie nilishikwa na bumbuazi manake sikutegemea kama nitamkuta kule ndani, hata kulishusha taulo chini pia muda ulikuwa hautoshi, nikaamua kukaa kimya tu
 
Kwanza mzuri sio shape ya kiazi toka tukuyu
 
Back
Top Bottom