Nimfanyaje mtu huyu


Kusoma hujui, hata picha?!
 
Mmmmh hapa sijakuelewa yaani umesema jamaa ana mtu tayari na anaelekea kwenye hatua za mwisho za kuoa. Sasa tena anataka muendelee kua wote tena hawezi kuishi bila wewe. Mmmmmh bado nina mshangao sana je wewe unahisi huyo bwana ataahirisha ndoa yake na kufunga ndoa na wewe au anataka muwe wapenzi tu na hakuna future au anatakaje hasa. Je wewe binafsi thamani yako kwa huyo bwana unahisi iko kama mwanzo au imepungua. mimi ningekubaliana na suala la kurudiana iwapo ungesema jamaa anataka kumuacha mchumba wake ili muwe wote hapo tungeanza mazungumzo lkn kwa hivi ilivyo naona nikae kimya.
 
amekuwa nawe mkaachana amekwenda kuchumbia unaona bado anakupenda hakuna upendo anataka kukutumia angekupenda wala asingechumbia achana nae
 
Mi nimeshindwa kumuelewa mtoa mada anataka nn hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…