Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,715
- 13,695
Wakuu
Kuna mambo si ya kufumbia macho,watoto wadogo huanza kuingia ktk mapenzi kwa ushawishi wa wanawake wa umri mkubwa.
Nyumbani nina mdogo wangu miaka 13 alimaliza shule ya msingi akafeli ana miaka miwili nyumbani.
Katika siku za usoni mdogo wangu niligundua kuwa ana urafiki na jirani yangu wa miaka ishirini na tatu, mdogo wangu alikuwa na urafiki wa karibu sana na huyu binti jambo ambalo lilinipa wasiwasi.
Hivyo nilianza kuchunguza polepole
Nimekuja kugundua kuwa mdogo wangu huwa anaunganishwa na kaka yake na huyu binti wa miaka 23 amuoe,na mdogo wangu hupewa simu anazungumza na huyo jamaa na huyo jamaa ametumiwa picha za mdogo wangu ili aonwe na jamaa.
Nilimtukana sana na kumsihi aache mara moja na familia yao na yetu niliijulisha na wamesema hawataendelea na mchezo huo.
Je niamini hivyo au nichukue hatua zingine zaidi za kisheria dhidi yao?