Omba Mungu akuepushe na tamaa za kimwili. Wabongo wakati mwingine sijui tukoje, mdada akikuchekea tu basi anakutaka.
.Omba Mungu akuepushe na tamaa za kimwili. Wabongo wakati mwingine sijui tukoje, mdada akikuchekea tu basi anakutaka.
.
Ni kweli unalo sema lakini si kirahisi hivyo. Nimekutana na wengi wanao jichekea lakini huyo sijamwelewa.
Na tukinyamaza wanadai tunaringa jamani
Kwani akiwasha moto kuna tatizo gani????Usijichekeshe kwa watu wa namna hii! utaambiwa unamwashia moto! lol
.Mie nakushauri usiende haraka. Huyo ni rafiki mzuri na wale usiwe na wazo kubwa juu yake. Unajua mambo yanabadilika, dada kukuambia anakupenda sio lazima akwambie kwa mdomo, hiyo kazi anayo ifanya izingatie na Mwombe Mungu akupe kibari. Yapo mambo ya msingi ambayo unatakiwa uangalie kama unataka kuchukua one step ahead. lakini chamsingi mwombe Mungu utapata jibu juu ya huyo dada.
nimekupata
.na huyo mdada pia anafikiri wewe unammind kwa kujipeleka peleka hapo kwenye ka ofisi kila mara bila shuhuli ya msingi . kwa ufupi wazembe wawili mmekutana. tabu tupu