Nimfanyaje huyu dada

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Wana jf naomba ushauri. Kuna dada anafanya kazi sehemu moja inayo toa services. Ni dada mzuri, msafi, anajiheshi, anaelimu nzuri na muungwana. Tatizo Kila nikienda hiyo sehemu kupata service nakutana na vituko. Sometimes akiniona ni kama anachanganyikiwa. Siku moja nimepita hapo akawa anaongea na jamaa kwenye simu alipo niona akaweka loud speaker. Huyo jamaa alikua anamwomba amwoe na yeye akawa anakataa. Siku changia chochote nikauchuna. Siku nyingine akaniambia nimevaa vizuri kama nakuja kumwoa. Nikamshukuru kwa compliment yake lakini sikuongeza lolote. Jana sijui kapeleleza wapi akaniambia kitu ambacho alipaswa kuniambia mtu ambaye nipo naye karibu nina maana amepeleleza hadi amajua hicho kitu.
Sasa naomba masaada maana juhudi anayo fanya huyu dada, naona kama namwonea kutoonyesha any positive response. Namheshimu, i mean sijaonyesha dharau yoyote. Nifanyaje na je nimawazo yangu finyu. Note. Samahani sina maana sipendi anacho kifanya (nafurahia mno) lakini kutojua na kutokuwa makini kunaweza kunigharimu.
 
Omba Mungu akuepushe na tamaa za kimwili. Wabongo wakati mwingine sijui tukoje, mdada akikuchekea tu basi anakutaka.
 
Omba Mungu akuepushe na tamaa za kimwili. Wabongo wakati mwingine sijui tukoje, mdada akikuchekea tu basi anakutaka.
.
Ni kweli unalo sema lakini si kirahisi hivyo. Nimekutana na wengi wanalionichekea na ni vitu vya kawaida , lakini huyo sijamwelewa.
 
Mie nakushauri usiende haraka. Huyo ni rafiki mzuri na wale usiwe na wazo kubwa juu yake. Unajua mambo yanabadilika, dada kukuambia anakupenda sio lazima akwambie kwa mdomo, hiyo kazi anayo ifanya izingatie na Mwombe Mungu akupe kibari. Yapo mambo ya msingi ambayo unatakiwa uangalie kama unataka kuchukua one step ahead. lakini chamsingi mwombe Mungu utapata jibu juu ya huyo dada.
 
Kaka upo single au? Kama ndio anza kujisogeza karibu taratibu. Labda mdada amemind swaga zako.
 
Mie nakushauri usiende haraka. Huyo ni rafiki mzuri na wale usiwe na wazo kubwa juu yake. Unajua mambo yanabadilika, dada kukuambia anakupenda sio lazima akwambie kwa mdomo, hiyo kazi anayo ifanya izingatie na Mwombe Mungu akupe kibari. Yapo mambo ya msingi ambayo unatakiwa uangalie kama unataka kuchukua one step ahead. lakini chamsingi mwombe Mungu utapata jibu juu ya huyo dada.
.
asante kwa ushauri mzuri.
 
kaka hawa watu hawatabiriki....anaweza akawa anamaindi kukuona tu....

Kweli kabisa, kazi ipo???, tatizo letu tumezoea kulianzisha, wakilianzisha hata kama ni la ukweli linatuduwaza.
 
na huyo mdada pia anafikiri wewe unammind kwa kujipeleka peleka hapo kwenye ka ofisi kila mara bila shuhuli ya msingi . kwa ufupi wazembe wawili mmekutana. tabu tupu
 
na huyo mdada pia anafikiri wewe unammind kwa kujipeleka peleka hapo kwenye ka ofisi kila mara bila shuhuli ya msingi . kwa ufupi wazembe wawili mmekutana. tabu tupu
.
No thanks!! hujaelewa, soma upya. naenda kununua service za kampuni na sio kwajili yake. kawni wewe unapokwenda gengeni pale mtaani pako ni kijipendekeza??
 
kwanza mwanaume haringi au kujishaua, wanawake watakuchukia ukiwa hivi pili una condoms? tatu opportunity dance with the one on the dance floor, ingia kula kitu kama size yako
anza mkataba, ndio mwanaume anatakiwa kuwa, hakuna mapenzi siku hizi watch out, kitu kikiwa kinakufaa kiweke ndani au hakifai sepa, kata mawasiliano, acha mapenzi hayapo, usipoteze muda, ukazani ni ww mwenyewe umemwona, kula tambaa kama hafai ciao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom