Mtu ambaye hajashikwa ugoni hawezi kuelewa jinsi mke wa mtu alivyo sumu. Tuulizeni!daaaaaaaaah hapa nimetoka kuvushwa na mke wa mtu ni muda mrefu sana huyu demu anadai ananipenda na hata mm pia nampenda ni mzuri kweli sasa leo nimevunja amri ya sita ya mungu wangu na kesho naenda kanisani tena nimepagwa kusoma neno la mungu, roho inaniuma kweli kuvushwa na mke wa mtu je jamaa angenikuta ningekuwa na wakati gani na ananipata vizuri tu as a friend, ila demu yuko pw sana tena sana nimefaidi japo kwa woga na yeye amefurahia mapigo yangu kweli jamani mke wa mtu ni mtamu lkn usishike, roho inaniuma bc tu ngoja nilale Mungu huyu, naomba unisamehe tu
Haaa![emoji3] [emoji3] mimetabasami kwa Furaha sana!Jamaa angekukuta angekufungulia dunia... Uwe unachotaka!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Mkuu hebu mshirikishe yaliyokusibuMtu ambaye hajashikwa ugoni hawezi kuelewa jinsi mke wa mtu alivyo sumu. Tuulizeni!
Yan mkuu swala sio kwmba kazini na nani?? Mbele za Mungu huangalia dhambi..yeye aliezini na mke wa mtu na yule aliezini na mwanamke yoyote yule hata kama sio mke wa mtu tambua wote wamefanya kitu kimoja na hukumu yao ni moja kinachotakiwa ni yeye mtoa mada aache uzinzi mara moja maana kwa mujibu wa biblia inasema "aziniye na mwanamke hana akili,maana afanya jambo litakaloangamiza nafsi yake"Mkuu..m.mungu.anasema La takrabu ziinaaaaa..usiikaribie zinaa..ni uchafu mkubwa mmno..m.mungu anasema..na anachukia sanaa. Wewe umeufanya tena kwa mke wa mtu? Dah ..pole sana kijana hukmu yake unaijua? Upigwae bakora mia tena sio za mchezo...na huyo mwanamke ambae ana mume huku yake apigwe mawe mpaka afe..kwani akiachiwa ataendelea tu..ataeneza huo uchafu kwa watu wengine..mkuu umefanya kosa kubwa..haimeti wewe wa dini gani lakini dah...omba toba ya kweli na usirudie..na hapa dunia inasemekana ukizini na mke wa mtu basi jitayarishe na malipo..malipo ya kuziniwa na wewe mkeo ili uwone ubaya na maumivu aloyapata mwanamme mwenzako..shukran.
Mkuu acha kabisa! Usiombe ushikwe red-handed hivi na mke wa mtu! Hiyo fedheha yaani haielezeki! Kushikwa ugoni kusikie tu aisee. Hata kama alikuwa demu wako, kisha kuolewa mpe kisogo mara moja! Haki ya nani nakwambieni mimi![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Mkuu hebu mshirikishe yaliyokusibu
we nenda kasali huku nyuma kuna waungwana pia wanakula mbunye ya mazaako km wamepagawa.hilo tobo tu si dhambi kulipa haki yake
Kislaam hukmu zina tafaitiana kwa alie owa na asie owa.asie owa awe mwanamke au mwanamme basi hukmu yao ni bakora mia.tena wapigwe na mtu alie shiba..na walio kwenye ndoa..mwanamke au mwanamme akizini . hukmu yao wapigwe mawe mpaka wafe..sisi binsadam tunachukulia zina ni jambo dogo sana..kumbee ni mijizambi ile mikubwa ..ambayo m.mugu kaitaja ni .1 kuuwa binadam mwenzako kwa makusudi. 2 kufanya ushirikinai..3 kuzini.wakuu tukaeni mbali na mijizambi hii shukran.
Hii ngumu kumesawe nenda kasali huku nyuma kuna waungwana pia wanakula mbunye ya mazaako km wamepagawa.hilo tobo tu si dhambi kulipa haki yake