Hahahaaaaa, hata mimi ujue nina jamaa yangu mmoja ni mnazi wa CCM na mimi Chadema.
Sasa mwaka 2012 aliwahi kunishauri kuwa nikitaka yangu yaniendee basi niwe na kadi ya CCM na alitaka kuniletea, lakini kutokana na chuki yangu dhidi ya CCM nilimkatalia katakata.
Ila kiukweli yale maneno yake yana ukweli kwa kiasi fulani. Ningekua nimeshapiga vitu vya maana huku nikijua kura yangu ni kwa Chadema.